Mke wangu amekutwa HIV+

Ni mkeo au mwanamke unaishi naye tu akasema ana Mimba? Mimba ni yako au ilimpendeza wewe kuwa baba? Nakuuliza kwa sababu anaonekana kuwa mwanamke mjanja mjanja, anajua hadi kunywa ARV bila stress.
............................Inafikirisha sana mkuu,jamaa ajitathmini mapema ajue chanzo cha yote haya hata huyo anayeita mtoto wake kwa scene hii huyo siyo mwanae.

Huyo mwanamke ni wa kufukuza
 
Ujue ni jambo serious afu nimejikuta nacheka; eti unatamani umweleze mkono akushauri[emoji38][emoji38]
 
mi kama siyo maswala ya visa iloyohitaji vipimo nisingepima ,nilipopima niko vizuri nikajisahihisha,halafu bila kupima unakuwa unajiambia lolote liwe kwanza sijui Kama ninao
Ee usipopima yaani unakuwa unajiuliza mwenyewe na unajijibu mwenyewe....jibu unalojipa ni aaaaah itakuwa sina mie mbona nipo vizuri tu[emoji3]
 
mkuu me pia nmemuuliza anasema ni miezi 8 baada ya kujifungua ndo alijua yuko postive bado nna shaka demu alijua kipindi cha clinic
 
muda mfupi sana hata kama alichepuka aliona nini mpaka akapime ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…