Mke wangu amekutwa HIV+

Ilikuwa aibu kubwa,maana harusi ilishatangazwa kwa jamii[emoji23]jamii utaidanganya vipi ikuelewe?

Bi dada kalia weeh hadi amezoea.
Harusi kwahio ilikuwa cancelled na michango mkarudisha ama? Hio ni pigo kubwa kisaikolojia aisee😅 kwahio aliona bora hata aolewe week tu ilimradi kuondoa gundu jmaa akachomoa
 
Harusi kwahio ilikuwa cancelled na michango mkarudisha ama? Hio ni pigo kubwa kisaikolojia aisee[emoji28] kwahio aliona bora hata aolewe week tu ilimradi kuondoa gundu jmaa akachomoa
Harusi ilifutwa...michango haikurudishwa

Mdada alikuwa anataka akaishi japo wiki kuficha iwe siri,watu tusijue kama kaathirika,lakini mwanaume akachomoa

[emoji23],,,,huyo mwanaume sasa alikuwa anamtangaza bi dada balaa

Maana mama wa bi dada,alifosi wakapime,alikuwa na mashaka na mkaka labda anao[emoji3]
 
Dah hii kiboko aisee
 
brother wait for three months ukapime tena! sina la kusema, pole ndugu ndo ya dunia..
 
Pole sana kaka huo ni mtihani ila sekta ya Elimu na Maaskari ni janga la taifa ki ukweli hawana tofauti na wafanya Scrub wa Saloon.
Hawa watu wa saloon ni noma sana, Kuna mmoja nilimpata nikamshaur tupime kwanza, weee alikuwa mkali balaa! hataki kusikia Mambo ya kupima

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana Mkuu hzo ni changamoto tu unaptia kikubwa huyo mwanamke alitakiwa kukuweka waz kwamba tayar yeye anatumia dawa sababu ni vitu vya kawaida tu

Mfano mim na miaka 17 natumia ARVs tangu kuzaliwa na najikubal na kujpenda sana
Binafsi nilikuwa nafikiria hichi kitu, inawezekana binti alizaliwa na HIV toka kwa Mama yake na amekuwa nayo wakati wote ndio maana haikumshtua, pia huenda alianza kunywa dawa muda mrefu, nina kesi ya mtoto wa mdogo wangu ambaye alizaliwa HIV Positive,mpaka leo anatumia ARV na yuko sekondari anendelea vizuri ukimuona huwezi kuamini kuwa ni mgonjwa.
 
Tena ukipiga wakati wa mimba unamsaidia kutanua njia, ukisusa wahuni wanamkunja na mimba yake
 
Ukimwi uko manageable,aisee bora ukimwi kuliko kisukari au sijui moyo au figo utajuta..

Shida ya ngoma ni vile watu wanakunyanyapaa but ukipata elimu sahihi sio kesi Sana.
Hiv mnaongeaga kwa sifa au....hiv ukimwi ni ugonjwa wa kuchkulia poa kihivyo mkuu..daah..ukimw ni hatar ndugu..yaan acha kabisa huo ugonjwa haufai
 
Duh
Duh! Hapo lazima alichepuka hakutaka tu kusex na wewe kwa hofu ya kukuambukiza au kuficha sehemu zake za Siri zenye mabaka kwa kuwa alijua ungegundua, pole saana ila okba Mungu mwanao awe mzima tu.
 
Ulitakiwa uendelee kumnyandua mapaka mimba inafika miezi tisa, baada ya kujifungua ungeanza mara tu alipopona maungo yake.

Kuna sehem kaupata kipindi ulipokuwa humkuli.
 
Na unakuta kuna watu wanakubandua kavu....jamani!!!!! Eee Mungu tuepushe waja wako



Sent using Jamii Forums mobile app
Tena huyo bora hana uwezo wa kuambukiza.Mtu akiwa kwenye dawa zaidi ya miezi sita uwezekano wa kusambaza ni mdogo sana au haupo.
Waliopo kwenye nafasi kubwa ni wale ambao hata hawajijui kama wameathirika.
 
Utateseka kama hujielewi mbona hata ukiachwa huwa unateseka na hadi mnajinyonga?

Msipopata elimu sahihi ya kujitambua ndio utapata shida,mimi mara kadhaa huwa najioeleka kupima ngoma wala sihitaji kusukumwa kwa sababu nafahamu wanaoteseka na hayo magonjwa unayosema wewe ni wale ambao wana ngoma afu hawajui kama wanao afu wanakuja kugundulika too late cd4 ziko chini Sana na kuja kuziridisha sio leo.
 
huyo dada hajachepuka,hakuna kitu kinaitwa hiv ni propaganda tu
 
Muongo huyo. Kama kaweza kukuficha ni mgonjwa atashindwaje kusema kuwa hajachepuka ?
 
Pole, ila nimegundua mnaishi maisha ya Mtu na Kimada sio kama Mume na Mke, na hapo ndio tatizo lilipoanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…