Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Mke wangu amefundishwa tabia mbaya salon

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,485
Baada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha, kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni kutokana na majibu aliyonipa.

Mke wangu ni mstaarabu, kapata malezi ya kiafrika kutoka kwa bibi yake mpendwa ila kwa hicho alichonitendea lazima nimpe likizo fupi isiyo na fedha za matumizi. Hapa lazima niende pia kuliamsha dude kwa dada wa salon aliyemfundisha mke wangu mambo ya ajabu, sikuwaza kabisa kama mke wangu angeniomba nimfanyie mchezo huo.

Hapana haikubaliki lazima nikamtie adabu huyo binti.
 
juzi nilienda saluni kublow nywele zangu loh nikamkuta dada mmoja anasema eti kuna shosti yake kaja kwake nyumba yake imebomolewa sijui wapi .anakunya kinyesi kinanuka mtaa mzima.eti anaomba ushauri maana anajuta kumpokea blah blah kibao.yaani saluni wanawake wanaongea kila kitu.ukitaka kujua listi ya vibamia vya mtaa flani nenda saluni kila mbaba anajulikana na size na round zake .
 
Malizana na mkeo achana na ku-deal na wanawake unaweza ukapewa jibu moja mpaka sukari ikashuka ghafla na kuaga dunia. Mkanye tu mkeo na mwelekeze mtari ulio bora wa maisha mwonyeshe msimamo wako atakuelewa tu punguza jazba
 
Sasa umri alionao mkeo bado unasema kafundishwa kitu hivyo unaenda kuliamsha dude. Khaa

Wacha hizo we mwanaume jitambue na pia pambana na mkeo ambapo umuulize kaupendea nini huo mana mpaka anataka kufanyiwa huo mchezo jua ameupenda
 
Ukiona hivo basi jua na yeye alikuwa anapenda tabia mbaya.....i do believe mtu mzima na akili zake timamu hawezi kufundishwa tabia mbaya coz ana akili enough ya kujua kipi kizuri na kipi kibaya.........huyo mke wako alikuwa anapretend na sasa ndo anaonesha makucha yake
 
juzi nilienda saluni kublow nywele zangu loh nikamkuta dada mmoja anasema eti kuna shosti yake kaja kwake nyumba yake imebomolewa sijui wapi .anakunya kinyesi kinanuka mtaa mzima.eti anaomba ushauri maana anajuta kumpokea blah blah kibao.yaani saluni wanawake wanaongea kila kitu.ukitaka kujua listi ya vibamia vya mtaa flani nenda saluni kila mbaba anajulikana na size na round zake .
Duh!!!

-Ndumilakuwili-
 
Baada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni kutokana majibu aliyonipa.

Mke wangu ni mstaarabu, kapata malezi ya kiafrika kutoka kwa bibi yake mpendwa ila kwa hicho alichonitendea lazima nimpe likizo fupi isiyo na fedha za matumizi. Hapa lazima niende pia kuliamsha dude kwa dada wa saloon aliyemfundisha mke wangu mambo ya ajabu, sikuwaza kabisa kama mke wangu angeniomba nimfanyie mchezo huo.

Hapana haikubaliki lazima nikamtie adabu huyo binti.
Ataenda fanya hayo na watu wengine kisha kwako atakuwa anafanya utakavyo, inasemekana wanawake ni super freaks beyond your imagination!
 
Huyo mwanamke pengine hako kamchezo alikuwa nacho tangu muda sema alikuwa hataki kukwambia mapema maana ndoa bado changa na ungemuona muhuni.
 
Hapo ulichoobwa umfanyie ni tabia yake halisi. Mtu mzima hafundishwi mchezo mbaya, anaiga tu. Shukuru Mungu kakwambia matamanio yake kuliko angeendelea kukitoa nje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Labda alijifunza ili akuridhishe wewe, nyinyi ni watu wazima kwani myaongee na mkeo, inabidi nini wewe kwenda kumuuliza dada wa saloon?
Ndio hapo wanaume wengine wana vituko sana utadhani huyo mkewe ni mtoto mdogo na unaweza kuta hao wadada wa saluni ni wadogo ila mkewe mtu mzima.
 
Back
Top Bottom