Kila mtu ana misimamo yake katika maisha,nikeishi na mke wangu kwa misimamo huu kwa miaka 15+ sijawahi kukwaruzana na mke wangu na Wala hata Kofi sijawahi mpiga.Huo msimamo wako kaka una dosari kwa dunia ya leo,mkuu wa shule ni mwalimu pia na kama unadhani kuwa vyeo ndio humfanya mwanamke kuchepuka,sio sahihi,hivyohivyo alivyo mwalimu anaweza kuchepuka sana tu