Mke wangu amebadilika sana

Mke wangu amebadilika sana

Maadam tabia zilianza baada ya kumuanzishia biashara ,basi huko ndio kwenye chanzo cha tatizo

1. Huenda kakutana na wanawake ambao ni wanaharakati wa 50/50 wamembadilisha mkeo

2. Huenda kuna mwanaume anamtia kiburi

3. Huenda vijihela vinamfanya ajione anaweza kusurvive bila wewe

Tume yako ya maridhiano ianzie kufanya uchunguzi huko
 
Wakuu kheri ya 9D kwa wapigania haki wote wa TANGANYIKA.

Mke wangu nimeishi naye wastani wa miaka 4 sasa alikuwa mnyenyekevu, mpole, si muongeaji sana hata akiwa na wenzie, heshima kwangu ni miongon mwa vitu nilijivunia kuishi naye, kuniskiliza na hakuwa mtu wa kujibzana na mimi.

Sasa ameanza kunijbu majibu ya mkato na wakati mwingne naweza mkemea jambo fulan akatoka nje huku anabamiza milango kavuta mdomo sjawahi kumpiga maana siamini katika kupiga mwanamke, nimejikuta natafakari mambo mengi sana maana nilimpa mtaji wa biashara pengine huko kwenye biashara yake amekutana na watu wamempa kiburi na kumfundsha tabia ngeni kwangu ukizingatia hata sex yenyewe siku hz ni kama anakwepa tofauti na kpnd cha nyuma alikuwa anapenda sn hilo tendo au vihela anavyopata vinampa kiburi sielewi.

Juz niliamua kwmb asfanye jambo lolote linalonihusu yan asfue nguo zng tafua mwnyw, asnipkie niktoka kazn napka mwnyw, sihitaji k yake tena na wala staki story nae. Kabak amenuna tu na mi sina habari.
JE WAKUU NIMEAMUA VEMA AU NIFANYE NINI?
Ukioa mwanamke ambaye anajishughulisha na biashara mambo haya utakutana nayo.
1. Kuchelewa kurudi nyumban,

2. Kukosa muda wa sex na wewe

3. Kumheshimu mteja wake kuliko wewe,
4 . Kuwa busy na wafanyabiashara wenzake kuliko wewe.
5. Hakuna mawasiliano ya simu na wewe.

Hivyo kaa naye mpe nafasi ajieleze na wewe umueleze kinachokukwaza toka kwake. Halafu hyo biashara anayoimiliki hakikisha unai control wewe yeye anakuwa kama mfanyakazi tu.
 
Wakuu kheri ya 9D kwa wapigania haki wote wa TANGANYIKA.

Mke wangu nimeishi naye wastani wa miaka 4 sasa alikuwa mnyenyekevu, mpole, si muongeaji sana hata akiwa na wenzie, heshima kwangu ni miongon mwa vitu nilijivunia kuishi naye, kuniskiliza na hakuwa mtu wa kujibzana na mimi.

Sasa ameanza kunijbu majibu ya mkato na wakati mwingne naweza mkemea jambo fulan akatoka nje huku anabamiza milango kavuta mdomo sjawahi kumpiga maana siamini katika kupiga mwanamke, nimejikuta natafakari mambo mengi sana maana nilimpa mtaji wa biashara pengine huko kwenye biashara yake amekutana na watu wamempa kiburi na kumfundsha tabia ngeni kwangu ukizingatia hata sex yenyewe siku hz ni kama anakwepa tofauti na kpnd cha nyuma alikuwa anapenda sn hilo tendo au vihela anavyopata vinampa kiburi sielewi.

Juz niliamua kwmb asfanye jambo lolote linalonihusu yan asfue nguo zng tafua mwnyw, asnipkie niktoka kazn napka mwnyw, sihitaji k yake tena na wala staki story nae. Kabak amenuna tu na mi sina habari.
JE WAKUU NIMEAMUA VEMA AU NIFANYE NINI?
Huyo mkeo amerudi kwenye default yake,huwezi kumbadilisha na pia ameshapa mtu anayemzagamua accordingly, unaposusa mbususu wenzako wakina sisi tunaendelea kuichapa wewe endelea kufua nguo, kupika pamoja na kuosha vyombo.
 
Wakuu kheri ya 9D kwa wapigania haki wote wa TANGANYIKA.

Mke wangu nimeishi naye wastani wa miaka 4 sasa alikuwa mnyenyekevu, mpole, si muongeaji sana hata akiwa na wenzie, heshima kwangu ni miongon mwa vitu nilijivunia kuishi naye, kuniskiliza na hakuwa mtu wa kujibzana na mimi.

Sasa ameanza kunijbu majibu ya mkato na wakati mwingne naweza mkemea jambo fulan akatoka nje huku anabamiza milango kavuta mdomo sjawahi kumpiga maana siamini katika kupiga mwanamke, nimejikuta natafakari mambo mengi sana maana nilimpa mtaji wa biashara pengine huko kwenye biashara yake amekutana na watu wamempa kiburi na kumfundsha tabia ngeni kwangu ukizingatia hata sex yenyewe siku hz ni kama anakwepa tofauti na kpnd cha nyuma alikuwa anapenda sn hilo tendo au vihela anavyopata vinampa kiburi sielewi.

Juz niliamua kwmb asfanye jambo lolote linalonihusu yan asfue nguo zng tafua mwnyw, asnipkie niktoka kazn napka mwnyw, sihitaji k yake tena na wala staki story nae. Kabak amenuna tu na mi sina habari.
JE WAKUU NIMEAMUA VEMA AU NIFANYE NINI?
Rudisha kwao Mkuu , akajifunze kwanza akibadilika arudi
 
Mwanaume unamnunia mwanamke badala umchunguze then mkae mjadili shida ni Nini ukiona haelewi fukuza
 
Wakuu kheri ya 9D kwa wapigania haki wote wa TANGANYIKA.

Mke wangu nimeishi naye wastani wa miaka 4 sasa alikuwa mnyenyekevu, mpole, si muongeaji sana hata akiwa na wenzie, heshima kwangu ni miongon mwa vitu nilijivunia kuishi naye, kuniskiliza na hakuwa mtu wa kujibzana na mimi.

Sasa ameanza kunijbu majibu ya mkato na wakati mwingne naweza mkemea jambo fulan akatoka nje huku anabamiza milango kavuta mdomo sjawahi kumpiga maana siamini katika kupiga mwanamke, nimejikuta natafakari mambo mengi sana maana nilimpa mtaji wa biashara pengine huko kwenye biashara yake amekutana na watu wamempa kiburi na kumfundsha tabia ngeni kwangu ukizingatia hata sex yenyewe siku hz ni kama anakwepa tofauti na kpnd cha nyuma alikuwa anapenda sn hilo tendo au vihela anavyopata vinampa kiburi sielewi.

Juz niliamua kwmb asfanye jambo lolote linalonihusu yan asfue nguo zng tafua mwnyw, asnipkie niktoka kazn napka mwnyw, sihitaji k yake tena na wala staki story nae. Kabak amenuna tu na mi sina habari.
JE WAKUU NIMEAMUA VEMA AU NIFANYE NINI?

Wanamla Kaka, Kuna mtu kahamishia Heshima na utii wake huko!
 
Binafsi umeamua sawa ila hakikisha hujutii ulicho kiamua maana utaumia sana zaidi ila endapo utasimamia hapo niamini mm umetoboa. Wanawake hawana kitu cha ku tu offer sisi wanaume zaidi ya mbunye sasa ukisha isusa lzm ajione kenge hata kn kuna boya anacheza nayo
 
sjakurupuka nimejiandaa vema sn nmefanya tathimin kubwa kabla sjaamua, mpk sasa ameshaomba sn misamaha sjibu chochote katumia mpk sms sjbu, kaja live sjbu npo busy na mambo yng nataka ajutie sn.
 
Mi nadhani hatua ulizoanza kuzichukua ni stahiki na katika hayo uongeze mengine ya kumfanya ajione kima,likiwemo la kulala kwenye chumba cha watoto yeye mwache alale peke yake
 
sjakurupuka nimejiandaa vema sn nmefanya tathimin kubwa kabla sjaamua, mpk sasa ameshaomba sn misamaha sjibu chochote katumia mpk sms sjbu, kaja live sjbu npo busy na mambo yng nataka ajutie sn.
Good, nyapu ziko nyingi mnoooooo mzee wng km shida ni kusuuza rungu
 
Wanaume sikuhizi mnasusa wanawake tunasubiri. Mnasusa hadi K, yaani wanaume mmekua kama wote malastborn.
 
Back
Top Bottom