Basi tumia vpn kwenye simu mzeeNilihic hivyo lkn tuna watoto
Hiyo ni dalili mbaya kuna uwezekano mkubwa anakucheat hivyo anadhani na wewe unafanya hivyo,mfuatilie na yeye alafu ulete mrejeahoMke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalo fanya anajua nifanyeje?
Mapenzi yamepungua kutokana na yeye kudai kwamba nina mawasiliano na mademu wengi...
Sasa nashindwa la kufanya ...yeye chakushangaza hajawahi kushika simu yangu na hatuishi pmj kwa sasa kwa sababu za kikazi lkn kila kinachofanyika kwenye simu ana sema anajua na nimekuja kuona kwamba ni kweli anajua....sasa sijui dhumuni lake ninini?
My sisterNiuzie hiyo cm ukanunue nyingine
Isiwe tu ni Itel, tekno nitakuungisha
Mapenzi ni wivu...Mimi ni mwaminifu sana ndugu
Yaaah hapa naamini alifanya hivo kwa yeye sizani labda awe ni mtaalamuUkute na yeye kampa jamaa yake simu yako ili aku-hack