Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
Haueleweki ulichoandika anza mwanzo mwisho kwa ufasaha
Apana mkuu nimepita mengi tuu kwenye maisha,hakuna kitu kibaya kama kumdhulimu mtu jasho lake,dada mbona una akili sana
Ha ha ha ha mkuu umetisha tehAna
Anamsaidia ku pack
sasa mkuu unacheka kitu gani?
sasa mkuu unacheka kitu gani?
hahahahahahaha jfSasa inategemea na vitu ulivyobeba mkuu,utumbo robo,nyanya za 500 na kitunguu kimoja unataka upokewe?
Mke kuondoka so issue,issue ni huku kujakuja home na kubeba vitu,wazazi wake inaonekana wapo upande wake kwan juz alikuja na gari la babake.kuhusu kuleta bibi mwingine siyo rahisi maana ni ndoa kabisa ya kanisan.mkuu ttz lako hasa ni nini? mke kuondoka? vitu vyako? au bata wawili? funguka bana!
unakutana naye akiwa mzima na hajaota mapembe,akishakula ya mbuzi ndo hivyo mapembe kibaopole mkuu aisee... we mwache abebe kila atakacho uone mwisho wake ni nini? samahani lakini hivi mnapataga wapi watu wanamna hiyo aisee?
mkate mapembe .. halafu ndoa ya kanisani si kifungo kama amuelewani washirikishe viongozi ikishindikana muachane ... muwe mnatongoza wanawake wenye akili tatizo mnakaznaga na mambo ya nje mkomeunakutana naye akiwa mzima na hajaota mapembe,akishakula ya mbuzi ndo hivyo mapembe kibao
sasa mkuu,utamjua kama amefcha mapembe?anakuwa kama muungwana vile akishaingia tu ndani balaa,mwanamke anatukana Huyo balaaaa,Kule kwetu bara hawawez kuelewamkate mapembe .. halafu ndoa ya kanisani si kifungo kama amuelewani washirikishe viongozi ikishindikana muachane ... muwe mnatongoza wanawake wenye akili tatizo mnakaznaga na mambo ya nje mkome
duh pole mkuu aiseesasa mkuu,utamjua kama amefcha mapembe?anakuwa kama muungwana vile akishaingia tu ndani balaa,mwanamke anatukana Huyo balaaaa,Kule kwetu bara hawawez kuelewa
nishauri mkuu usiishie kusema pole,nshaambiwa Nina Mke mwingine mbele ya watoto,Mimi Malaya, nkduh pole mkuu aisee
mwanamke wa hivyo ni kumweka kando tu aisee.. kama hana adamu kwa mimi siwezi kuishi na mtu asiyekuwa na adamu na ahajui aseme nini kwa wakati gani sababu naweza mjeruhi .. kama mimi ni wewe ningefanya machakato akae mbali na mimi nisije mtengua tayanishauri mkuu usiishie kusema pole,nshaambiwa Nina Mke mwingine mbele ya watoto,Mimi Malaya, nk
kimsingi mkuu nimeshaamua hivyo,semabnataka mawazo toka angle tofauti,mwanzo nlutaka niondoke mimimwanamke wa hivyo ni kumweka kando tu aisee.. kama hana adamu kwa mimi siwezi kuishi na mtu asiyekuwa na adamu na ahajui aseme nini kwa wakati gani sababu naweza mjeruhi .. kama mimi ni wewe ningefanya machakato akae mbali na mimi nisije mtengua taya