Mke wangu aliyekataa kubeba mizigo

Mke wangu aliyekataa kubeba mizigo

Ndo ushaachwa hvyo.....huyo haendi kwao anenda kwa mshikaji wake
 
Achukue tuu kama anaona vitamsaidia kwenye maisha yake hao bata na hata kama una mbuzi mpe,kama ameandikiwa No ni No tuu..
 
Huyo dawa yake tafuta bibi mwingine weka ndani, kisha siku akija kuchukua vitu anamkuta, kisha huyo bibi mgeni anamkaribisha ndani kisha anamwachia achukue atakacho huku akiwa ametabasamu, kisha anamwambie, hakuna shida mume wangu alisema atakuja dada yake hapa kwa hayo kanambie nikuache uchukue utakacho, kisha na amnunulie na soda na kama ni asubuhi ampe chai na bagia kabisa.
 
Niliandika hapa, siku hiyo nilinunua matumizi ya home mama akakataa kubeba,alivyofika home akabamiza milango nakulala na alishaanza kulala mzungu 4,hatimaye aliamua kujikata kwao.

Chakushangaza kila siku anakuja home anabeba begi, vyombo na asilimia kubwa ya vitu alivyokataa kubeba kachukua na bata wangu wawili kachukua.
Cjakuelewa bado
 
Pole sana, mwache aende upate akili mpya ya kutafuta pesa fasta. Muda hautasubiri mpaka mumalize malumbamo, Harry up
 
Niliandika hapa, siku hiyo nilinunua matumizi ya home mama akakataa kubeba,alivyofika home akabamiza milango nakulala na alishaanza kulala mzungu 4,hatimaye aliamua kujikata kwao.

Chakushangaza kila siku anakuja home anabeba begi, vyombo na asilimia kubwa ya vitu alivyokataa kubeba kachukua na bata wangu wawili kachukua.
hahahahahahahahahahahahahahaha uwiiiiiiiiiiiiiii
 
huyo sasa anakupanda kichwani...hadi bata anachukua!!angalie asije kukuchukua na wewe akakupelekwa kwao!
 
Hivyo vitu anachukua saa ngapi?

Alivyochukua siku ya kwanza tu ulipaswa kubadili vitasa kama alikuwa na funguo
 
Back
Top Bottom