wadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama malaika ugomvi hutokea.ila kwa bahati mbaya siku moja kama miaka miwili tumewahi kugombana kidogo ila mke wangu alinitamkia kwamba siku moja ataniua kwa kisu au kwa sumu,wiki mbili zilizopita nilikuwa nimekuja mkoa mwingine kikazi ila alikuja ghafla usiku saa tano akakuta nimelala tukalala mpaka asubuhi,asubuhi akanambia kwamba anataalifa kwamba nina mahusiano na mwanamke mmoja na nimemfungulia duka,nikamkatalia kwamba jambo hili halina ukweli kabisa tulibishana kwa mda wa masaa sita tukiwa chumbani lodge wakati huo alikuwa kafunga mlango wa chumba na funguo kaficha,baada ya mimi kuendelea kukataa ghafla alichomoa kisu alichomeka kwenye suluali na kutaka kunichoma ikabidi tuendelee kupokonyana kile kisu bahati mbaya kikanikata mkononi naomba ushauri madau nifanyeje?

Umechangia sana kumfikisha hapo.
Cha kukushauri ni kuwa; whatever you did, undo ili urudishe imani yake kwako. Hiyo unayosema nyumba haikosi migogoro ni justification tu, there is something wrong with ur marriage. Kama huwezi undo, bora mseparate kwa muda!
Hiyo bluu: Ilikuwaje mkalala lodge? Nyumbani kwako kuna nguo za huyo anayekutuhumu au?
Red: Unaishi na mwendawazimu afu unakuja kutuomba ushauri? Subiri akuchinjilie mbali au akuwekee polonium ndio uje utuombe ushauri.
TAFAKARI, CHUKUA HATUA KABLA HAJAKUUA!!!
Hapo huka mke, hebu jambo hili lifikishe kwa washenga kwanza msuluhishwe na aonywe juu ya jambo hili kama akiomba msamaha basi unaweza kumsamehe lakini kama akikataa kuomba msamaha basi peleka kwa wazazi suala lenu.
Angalizo hakikisha madai ya mkeo hayana ukweli vinginevyo kama ni ukweli nawe muombe msamaha naye akuombe msamaha kwa kukutishia kuua kwa sumu na kisu kisha muanze maisha mapya.
Mmh dada Kaunga kwa hili nadhani tutatofautiana, haijalishi mpenzi wako amekutenda namna gani sidhani kama uamuzi wa kutaka kufanya mauaji ya kukusudia ndio suluhisho.
Nina wasiwasi mke wa jamaa kuna aina ya ushauri mbaya kapokea kutoka kwa baadhi ya watu wabaya.
Muhimu ni mleta mada mpeleke mkeo kwenye vituo vya ushauri nasaha la sivyo utapoteza uhai wakati dunia bado inakuhitaji.
Kaunga mie huwa naheshimu sana michango yako, lakini kwa hili umepotoka. hata kama mume kammkosea vipi, kutishia kuua au kujaribu kuua ni kosa kisheria. huyu tayari ni mtu hatari na hastahili kuitwa mke. ni muuaji huyu.Asprin msome tena taratibu; that his story hatujui ya mkewe. Na kumbuka kila mtu ana kauendawazimu kinachohitajika ni stumuls tu, sasa kiwango au intensity ya stimulus hutofautiana.
Mdada hadi kufikia hatua hiyo ujue kuna maudhi, maumivu yaliyokomaa na kuzaa hasira. Mkaka ingawa hatoi story au ukweli wote anafeel guilty in a way kwani anajua amesababisha mengi. Ukitumia kipimo cha wewe unvyoishi na mkeo na jinsi gani humuoni mkeo akifikia hatua ya kutoa kisu au kukumwagia moto hutaelewa. Tumia kipimo cha story za usaliti wa kupitiliza, utelekezaji wa familia na mengine ndipo unaweza pata picha.
Hivi mahango kwa hapo kuna haja ya kuomba ushauri?..........bahati mbaya kikanikata mkononi naomba ushauri madau nifanyeje?
Asprin msome tena taratibu; that his story hatujui ya mkewe. Na kumbuka kila mtu ana kauendawazimu kinachohitajika ni stumuls tu, sasa kiwango au intensity ya stimulus hutofautiana.
Mdada hadi kufikia hatua hiyo ujue kuna maudhi, maumivu yaliyokomaa na kuzaa hasira. Mkaka ingawa hatoi story au ukweli wote anafeel guilty in a way kwani anajua amesababisha mengi. Ukitumia kipimo cha wewe unvyoishi na mkeo na jinsi gani humuoni mkeo akifikia hatua ya kutoa kisu au kukumwagia moto hutaelewa. Tumia kipimo cha story za usaliti wa kupitiliza, utelekezaji wa familia na mengine ndipo unaweza pata picha.
Hujawahi pata Hasira kiasi kwamba wataka kummaliza aliyekukasirisha? Na kujituliza ukaishia kuvunja kitu au kutupa kitu?
Simtetei huyo mkewe, point yangu ni kuwa kutaka kuua ni symptom ya tatizo kubwa ambalo mleta mada amelisimplify na kulijustify kwa kusema 'nyumba haikosi migogoro'.
Unanidai zawadi yako.... Utakuja kuchukua lini? Lakini Uje WITHOUT.:becky::becky::becky::mwaaah::mwaaah::mwaaah:Kaunga mie huwa naheshimu sana michango yako, lakini kwa hili umepotoka. hata kama mume kammkosea vipi, kutishia kuua au kujaribu kuua ni kosa kisheria. huyu tayari ni mtu hatari na hastahili kuitwa mke. ni muuaji huyu.
Mara ngapi tumesikia wanandoa wanauana na baadae unasikia majirani wakisema kwamba walikuwa wanagombana kila siku na ugomvi wao ulikuwa unahusisha silaha. kwa hiyo watu wakishauana na ndio tunabaki tukisema lau kama tungejua.
Hiyo ndoa haifai, IVUNJWE!!!!!!!!!!!!!!!!
Bibie Kaunga heri ya siku ya ngumi.
Babu yangu aliwahi niambia kuwa mtu akikuambia atakudhuru kwa namna fulani (awe amelewa au hajalewa), na kweli siku moja akataka kufanya kama alivyokuambia. Kaa mbali na huyo mtu kama utafanikiwa kutoka salama kwa kuwa hakika ni lazima atatimiza lengo lake.
Kwangu mie babu yangu ni kama nabii, kwahiyo napenda kuishi maneno yake.
Jirani yangu siku moja alikuwa anajinyonga bahati nzuri mkewe akawahi akakata kamba..... Akamwambia "umenichelewesha tu, lazima nitajiua" Watu walimkalisha chini, wachungaji wakamwombe ikaonekana kimeshaeleweka......Maweeeeee Haukupita muda akakutwa kajining'iniza kwenye mwembe na mauti yashamkumba!!
Hawa watu wanaozungumzia mambo ya kudhuru au kujidhuru na wakaatempt kweli....... waogope mbaya!! Ni vichaa hawa!!