Mke wangu akisuka hivi uwa napenda sana.

Mke wangu akisuka hivi uwa napenda sana.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
suka.jpeg

Lakini akivaa kama huyu hivi kudadeki sipendi na atakuwa anaiweka ndoa rehani.....
 

Attachments

  • suka.jpeg
    suka.jpeg
    41.3 KB · Views: 849
msuko wenyewe ni minywele ya kuunganisha. Hovyo kabisa.
 
Panya road wakipita hapo hana kitu.mbona kalegea hivyo
 
Back
Top Bottom