Mke wangu afariki akiwa bikra

Mke wangu afariki akiwa bikra

ngome

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
235
Reaction score
98
Mapenzi mi hisia zinazo umiza lakini hazi choshi.

Mnamo mwaka 2009 nilipo anza kidato cha kwanza ndipo nilipo anza mahusiona ha mapenzi nilijikuta nikianza kupenda binti aitwae Halima ambae ametoka shule jirani na kuhamia katika shule nilikuwa nikisoma .

Kiukweli nilimpenda sana nae alinipenda sana yani kiufupi tulipendana nalengo letu nikuja kufunga ndoa, pia tulikubaliana kuwa hatutafanya tendo la ndoa mpaka tutakapo funga ndoa .

Tuliweza kudumu katika uchumba ndani ya miaka 4 bila kufanya tendo la ndoa kiukweli tulivumiliana na hatimae malengo yetu yalitimia na tukafunga ndoa ile siku ambayo tunatoka funga ndoa wakati tunarudi nyumbani ndipo ilipotokea ajali mbaya ya gari yetu kupasuka tairi ya mbele na mkewangu akapoteza maisha hapohapo yani iliniuma sana nikaapa kuto kuja kupenda tena ila kwa sasa najikuta nikimpenda msichana ambae yupo kidato cha 6 nae ni bikra ila ananiambia nimvumilie mpaka amalize kusoma je nifanyenini wakati nampenda na kuvumilia sitaki tena.
 
ww ni mzembe, kivip afe bila kukupanulia mapaja? wakat ni mke wangu labda ni demu wako na sio mke wako pole xana
 
Sitaki kuamini kwamba hicho (bikra) ndo uliweza kuandika kuhusu mkeo mpendwa (Mungu amrehemu)
 
ina maana na wewe ni bikra???

HUJAWAHI KUKUTANA NA HILI NENO papuchi???

kabla hujajibu hili swali labda nikuulize tena
ALIEGUNDUA MAZIWA ALIKUA ANAMFANYA NINI NGOMBE
 
Na ndo mwaka alioanza mahusiano na pia wamedumu miaka 5 ktk uchumba then ndoa ikafuata

Mtunzi angetafuta tu calculator wakati anatunga ili uongo ukaribie kwenye ukweli kidogo!
 
Porojo tupu, unafikiri watu wote humu ndani ni Makamu wako?

sio porojo kk ila nilikosea kuandika vidole havina macho sio 5 year ni 4 years sawa guys samahanini kwahilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom