Mke wa tajiri yangu ananitaka kimapenzi

jf inatisha hadi mahouseboy? daaaah? mimi naona utembee nae tu upate mengi zaidi inaeza ikawa from jf to mbunge facebook tayari?
 
Mwenyewe ndio bosi (aidha mwanamke anayemtaka houseboy, au mwanaume mwenye wasiwasi na houseboy kwa mkewe...)....! Vinginevyo; hii story umeitunga....! Aidha, karibu sana JF...!
 
<b>jf inatisha hadi mahouseboy? daaaah? mimi naona utembee nae tu upate mengi zaidi inaeza ikawa from jf to mbunge facebook tayari?</b>
<br />
<br />
Jamaa kaamua tu kutuibia, mwezi sidhani kama hata FB atakuwa anaijua, hiyo ni Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea........
 
a mere fabrication. Mpangilio wa mawazo uko wazi kbs kuwa ni story ya kutungwa. Na imelenga majibu ya aina fulani tu! Aaagh!
Udanganyifu mtupu!
 
Reactions: EMT
Yes raise your fantasy. This is totally a mere fantasy. Hakuna hb mwenye ujuzi wa kupangilia hv. Umejitahidi kuweka busy,good!
 
Usijitie kitanzi mwenyewe kwa tamaa yakijinga kama nikweli niafadhali urudi kwenu kijijini kuliko kulala na huyo Mama.
 
Yes raise your fantasy. This is totally a mere fantasy. Hakuna hb mwenye ujuzi wa kupangilia hv. Umejitahidi kuweka busy,good! Lkn angalia seal ya masaburi isikatwe.
 
Reactions: EMT

kwa muda huu uko kwenye keyboard nani analisha mifugo?
 
kwa muda huu uko kwenye keyboard nani analisha mifugo?

ahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!....ngoja afukuzwe kazi kabla ya kum_do huyo mke wa boss wake,halaf ndio atajua mbivu na mbichi za mjini
 
Jamani waungwana mmeona ni ajabu sana house boy kuingia kwenye mtandao??? labda baada ya kulisha ng'ombe na kukamua, anajiweka sawa, huenda home kuna computer na full mtandao saa moja, mbili, anachat. Sioni kama ni ajabu saaana house boy kujua computer na keshatueleza kuwa mama mwenye nyumba anamtaka hivyo labda huwa anamruhusu kabla mzee hajarudi anaingia kwenye mtandao.
Kuhusu suala la kumpenda mama mwenye nyumba, dogo utaumia, utarudi kijijini huna macho. Achana nae jipange ukusanye mtaji sawa, mwenye chake akijua umekwishaaa.
 

Hapa JF umekuja kutafuta majani ya ng'ombe?
 

Kama houseboy unaweza kuandika hivi ungekuta umeshafanya maamuzi muda mrefu. Vingenevyo, nina wasiwasi na hii ID. Usitufanye WanaJF wajinga kiasi hicho.
 
haswaaa! mke wa bosi ni bosi wako pia, jina shemeji ni mazingira ya kazi tu! ila hii story haijakaa uzuri. au labda mleta mada anajua kisa cha houseboy akaamua kujivika uhusika, vinginevyo mazingira ya TZ houseboy na JF ni maji na mafuta.
Muhhh Hata mimi hilo limenitatiza houseboy wasasa na JF vipi au ndio mambo ya utandawazi????
 
THREAD IMEFUNGWA!
mtoa mada ana kesi y kujibu kw ku2wekea post y uwongo na ku2ona maGREAT THINKERS wote ni wajinga. cooooourt.
 
nadhani hii alitakiwa aipate SHIGONGO ili akurekebishie then uilete hapa jamvini,hbu tuondolee uzushi wako hapa
 

RMD,

Amri ya sita ktk biblia inasemaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…