Mke wa Raisi wa Tanzania Visiwani Kufungua Kituo Cha Polisi

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,399
4,063
Hili la Mke wa Raisi wa Tanzania Visiwani kufungua kituo cha Polisi kama yeye ni mfanyakazi wa serikali au Taasis ya Umma imekaaje? mwishowe tutaletewa watoto siku za Mahafali kutukabidhi Nondo






  1. [h=3]MagangaOne Blog[/h]magangaone.blogspot.com/Cached
    You +1'd this publicly. Undo
    3 hours ago – MAMA MWANAMWEMA SHEIN AFUNGUA KITUO CHA POLISI FUMBA. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akifungua ...


    [h=3]Get more results from the past 24 hours[/h]





  2. [h=3]H@ki Ngowi[/h]www.hakingowi.com/Cached
    You +1'd this publicly. Undo
    ... Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Afungua Kituo cha Polisi cha ... Mwanamwema Shein,akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kituo cha ...







  3. [h=3]FULL SHANGWE BLOG[/h]www.fullshangweblog.com/Cached
    You +1'd this publicly. Undo
    1 hour ago – Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) kwa kupitia chama cha ..... Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Kituo cha Polisi cha ...


    [h=3]Get more results from the past 24 hours[/h]





  4. [h=3]KIF[/h]kingkif.blogspot.com/Cached - Similar
    You +1'd this publicly. Undo
    2Q==

    by Sigfred Kimasa - in 1,058 Google+ circles

    8 hours ago – Akizungumza na Ijumaa, Aunt alisema kitendo cha kupanda .... MAMA MWANAMWEMA SHEIN AFUNGUA KITUO CHA POLISI FUMBA ...

    More by Sigfred Kimasa


    [h=3]Get more results from the past 24 hours[/h]





  5. [h=3]Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo[/h]www.mjengwablog.com/Cached
    You +1'd this publicly. Undo
    1 hour ago – Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) ..... Alisema Ngesi kama mwanachama alitakiwa kutii maamuzi ya chama na ..... Shein Afungua Kituo cha Polisi cha Fumba Mkoa Mjini Magharibi ...


    [h=3]Get more results from the past 24 hours[/h]





  6. [h=3]MTWARA KUMEKUCHA[/h]mtwarakumekucha.blogspot.com/Cached - Similar
    You +1'd this publicly. Undo
    6 hours ago – ... Mwanamwema Shein Afungua Kituo cha Polisi cha Fumba Mkoa Mjini Magharibi ... WOTE IJUMAA NA MWISHO WA WIKI UWE MWEMA.


    [h=3]Get more results from the past 24 hours[/h]





  7. [h=3][/h]











  8. [h=3][/h]





  9. [h=3][/h]You +1'd this publicly. Undo

 
Kabla ya kuchangia nimeingia kwenye blo husika na kuon kile ambacho nilikuwa nikifikiria, kuwa kituo husika kimejengwa na wafadhili na nguvu za wananchi, kwa hivyo sidhani kama ni kosa.
 
Kabla ya kuchangia nimeingia kwenye blo husika na kuon kile ambacho nilikuwa nikifikiria, kuwa kituo husika kimejengwa na wafadhili na nguvu za wananchi, kwa hivyo sidhani kama ni kosa.

kwa hiyo wafadhili ndio wana mpaka mama mafuta kwa mgongo wa chupa, ili siku wakitaka kumuona mzee iwe rahisi, sivyo? unajua mazingira ya kutaka favour yapo mengi? na yanaendana tofauti na maadili ya mtu muungwana.
au nayeye utamu wa mikasi unamwingia.
 
Back
Top Bottom