Uzinduzi wa Jengo la Kituo cha Polisi cha Gallapo cha Milioni 62

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,908
945

MBUNGE DANIEL SILLO ASHIRIKI UZINDUZI WA JENGO KITUO CHA POLISI KATA YA GALLAPO

Mbunge wa Babati vijijini na mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 18, 2023 ameshiriki kwenye uzinduzi wa jengo la kituo cha polisi kata ya Gallapo kilichozinduliwa na Waziri wa mambo ya ndani Mhe Mhandisi Hamadi Masaun

Pia Mhe Sillo alimuomba waziri kuletewa gari la polisi, wananchi wapatiwe vitambulisho vya taifa, kituo kifanye kazi masaa 24 pamoja na hayo aliomba kujengewa kituo cha polisi kata ya Bashinet

Ambapo waziri alisema vitambulisho vya taifa vitakuwa tayari kabla ya mwezi desemba na pia wataleta magari na pikipiki sambamba la hilo alilichukuwa swala la ujenzi wa kituo cha polisi Bashinet na kuwaagiza uongozi wa polisi kufanya kazi Kwa saa 24 kwa kuwa kituo hicho kiko daraja C

Mbunge wa Babati vijijini na mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Daniel Sillo akisalimiana na wananchi wenzake wa jimbo la Babati vijijini katika kata ya Gallapo mara baada ya uzinduzi wa kituo cha polisi kilichozinduliwa na Waziri wa mambo ya ndani Mhe Mhandisi Hamadi Masaun
WhatsApp Image 2023-07-21 at 12.21.37(1).jpeg
 
Hawajapigwa
 
Kuleta kituo cha Polisi karibu na watu wako ni kukaribisha kero. Askari wetu bado wanaishi kwa kutegemea sana Rushwa na Uonevu leo wanashangilia lkn baadae watalia.

Watajigueza Mahakama, watashinda barabarani kukamata bodaboda, wacheza karata, wazururaji. Kwa kifupi mmeleta Chuma Ulete!
 
Hii sawa ila ile ya kibanda cha million 18 🤣🤣🤣 ilikuwa imeenda
 
Back
Top Bottom