Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe ampiga mtu na kumjeruhi

Huyu mama Mugabe aliwahi kutuhumiwa kuwa mchepuko wa Gavana huko Zimbabwe, Labda huko SA waligombea mchepuko hotelini. Maumivu ya mguu ndo aende haotelini SA????
 
yes alikuwa lucy!hahahha naikumbuakaga ile clip aliyoita waandishi wa habari kukanusha kuwa mumewe hana mke mwingine nje hahhahaha maskini kibaki anajiteteaaaa
Mama Kibaki alikuwa na sababu ya kumtandika vibao yule MC kwani alimtambulisha kwa kumwita jina la mchepuko wa Kibaki. Saa nyingine michepuko inatuzidi wanaume.
 
Hamna alimkuta huyo bi dada na wanawe Chatunga na Robert Jr. kwenye mazingira tata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia bado kwa mtu kama first lady kufanya mambo kama hayo si sawa. Kama watoto wana matatizo kwa nini apige malaya wanaojiuza? Angepiga watoto wake maana akiondoka watoto wataendelea na tabia hiyo kwa malaya wengine sababu wana hela.
 
kuna mwadili mmoja alipiga mwanafunzi wake wa chuo cha ualimu mambata kadhaa pale Katoke.
Mwanafunzi akamuwahi polisi akapewa Pf3 kilichotokea mwalimu alimuangukia mwanafunzi baada ya jamaa kukomaa kutaka kumfungulia kesi ya shambulio. Akaomba msamaha na punga akafungua.
Ukipigwa ni dili sana ulimwengu huu wa sheria kuwa acrobatic tu basi
 
kuna mwadili mmoja alipiga mwanafunzi wake wa chuo cha ualimu mambata kadhaa pale Katoke.
Mwanafunzi akamuwahi polisi akapewa Pf3 kilichotokea mwalimu alimuangukia mwanafunzi baada ya jamaa kukomaa kutaka kumfungulia kesi ya shambulio. Akaomba msamaha na punga akafungua.
Ukipigwa ni dili sana ulimwengu huu wa sheria kuwa acrobatic tu basi
Inategemea aliyekupiga nani.. Huyu ukikomaa na kesi wanatumwa CIO agents wa Zimbabwe kuyafanya maisha yako yawe magumu zaidi...:D:D:D:D. Si ulaya hii Africa. Ulaya kesi kama hizo unashinda lakini huku Africa kesi kama hiyo inayomhusu first lady achana nayo watakuzingua tu...
 
Hao watoto wa Mugabe ni pasua kichwa sana. Naona first lady alishindwa kuvumilia....maana inasemekana huyo binti aliyetandikwa na waya wa umeme alikuwa akiishi na mtoto mmoja kinyumba kama bibi na bwana. Walipofukuzwa huko kwenye nyumba kwa fujo ndio ikabidi mama atie timu Joburg. Bado madogo wakaja na mademu zao hotelini kwa mama. Mama Grace akaona isiwe tabu akatembeza mikwaju ya kutosha.
 
....Kama Lucy Kibaki vile..
Yani huyu mama kampiga huyo dada pengine ndo mkwe wake mtarajiwa. Sasa ikitokea hivyo baadae watatazamanaje?
 
Habari wandugu,Bi grace make wa Mugabe akutwa na kesi ya kumshambulia mrembo ktk hotel
akiwa na watoto wake,inaonyesha jinsi gani ambavyo hataki mchezo wa kuharibu watoto wake.
 
Yes, ni kweli walifukuzwa Dubai baada ya kuzidisha ulevi ndio wakahamishiwa SA ila ni swala la muda tu kwani hata watoto wa Mobutu/Gaddafi walikuwa ni wababe lkn yaliisha.
 
Back
Top Bottom