mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 564
versus lucy kibaki.Uyu Mama ni mbabe sana, Mugabe mwenyewe afungui mdomo kwake.
versus lucy kibaki.Uyu Mama ni mbabe sana, Mugabe mwenyewe afungui mdomo kwake.
lucy kibaki aliekua anawapa vichapo waandishi wa habari kumbe alishakufa yule maza?hahaha mama mtata km wife wa kibaki hehehe rose!rip!
Mayala ndiyo manini mkuu? Maana sasa kiswahili kinazidi tu kupanuka!Ah ah AF hiyo dem aliyepigwa naona vijana walinunua mayala eti kenyewe kanajiita kamodel
Sent using Jamii Forums mobile app
Mayala=Malaya twaogopa ban kiongozi kuwa mwana jf miaka 6 tushakua manyani wazee ka kina @nyaningabuMayala ndiyo manini mkuu? Maana sasa kiswahili kinazidi tu kupanuka!
Afrika kusini siyo Zimbabwe, utawala wa sheria, atakoma. Grace hiding scared.Nasikia amejificha kama digidigi
Madaraka ya kulevya
Afrika kusini siyo Zimbabwe, utawala wa sheria, atakoma. Grace hiding scared.
sasa kma alimkuta na wanae ingekuwaje kma angemkuta na Mme?eh eh mambo ya ujana hayo mdau..si umeona vijana wametulia tu maza akitoa kichapo
Mazingira tata ni yapi mkuu?Hamna alimkuta huyo bi dada na wanawe Chatunga na Robert Jr. kwenye mazingira tata.
Sent using Jamii Forums mobile app