Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli leo ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa msaada Ocean

Nampenda sana huyu mama. Ni mwanadamu mwenye hofu kubwa kwa Mungu na upendo wa kweli kwa wanadamu wenzie.
Kuvumilia ndoa ya huyu mzee, kunahitajika maombi yasiyokoma. Si unaona watz miaka miwili tu wanaomba poo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kati ya Wanawake wenye kuonesha kilichopo moyoni kwa wataalamu wa kusoma mtu watakuwa wanajua huyu mama ni mtu wa aina yake "anafaa kuwa mama wa Taifa"
 
Huyu mama huyu!! Ni basi tu sielewi kwa nini coz namfaham tangu ualimu wake , ni mama mwenye hekima na busara sana tena ni mama wa sala sana .
Anasema alizaliwa ocean road.....sasa alimtolea wapi.....eeeh hivi Roma ameshaachiwa?
 
Mama Janeth na Rais Pombe wamepishana nwaka mmoja tu. Pombe kazaliwa October 1959, mkewe tarehe na mwezi wa Leo 1960. So mama kafikisha miaka 57 na Pombe atafikisha 58 October this year. Mama Salama Kikwete ana 53.
 
Back
Top Bottom