Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...
Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.
.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..
Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..
Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
Hee....Watu wanapima ngoma au wanapima mdundo au ukishajua hiyo ngoma ina uzito gani utafanya nini.Mwambie kabla hawajarudiana wakapime ngoma
Tengeneza email anonymous umtumie ujumbe.
Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...
Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.
.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..
Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..
Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
"Mpende rafiki yako kama nafsi yako, Manuu"Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...
Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.
.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..
Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..
Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
Mkuu tupe mlejesho ulishughulikiaje hili swalaWamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...
Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.
.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..
Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..
Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
mwambie haraka maana ,baadae utakapokujua ameathirika ndo nafsi itakusuta kama ningekuwa mm nimemwambia bila hata ya kuomba ushauri hapa.Ni bora amuojoe na janga iloo