Mke wa rafiki yangu

Mkuu, mm naona unachelewa bure kumweleza ukweli rafiki yako. Fanya haraka. kwa mawazo yake huyo mwanamke anaweza kuwa anafikiri anamkomoa mmewe! ona sasa anavyojikomoa mwenyewe!!!
 
Kuna mambo mengine yanahitaji busara kuyatatua ,ukisema umwambie unavunja ndoa yake ,ukiacha kumwambia watoto watakua yatima ,pima mwenyewe chenye uzito hapo ni kipi kisha fanya unachotakiwa kufanya
 
Usiwe muoga kugombana na huyo mke wa rafiki yako bali cha kufanya lazma umweleze ukweli kuepusha familia nzima kupotea kwa upuuzi wa mmoja.
 
Mwanadamu hapaswi kukiogopa kifo bali anapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo.....
 
hivi kwann usianze kwanza na kumshauri mke wa rafiki yako?
mwambie huyo bibie kwamba anayetoka naye ameumia, ili sasa ajipime kwanza yeye.
Haitarudisha siku nyuma! Muhimu nikumwambia mshikaji wake, amwache Tu Bi Mdada a enjoy maisha!
 
Kwahiyo kama ni HIV+ basi asiweze kuwasaidia wengine? Unaonekana ukipata janga fulani huwezi kuelekeza wengine wasipite hapo...hiyo ndo maana yake.
Ungekuwa Greta think a ungenielewa. lakini ngoja nikusaidie. maana yangu ilikuwa huyu mleta mada anataka kumsambazia uzushi MTU Fulani kuwa anavirusi vya Ukimwi bila ya kumpima au kuwa na uthibitisho wowote. watu wengi wamekuwa wahanga wa up is hi kama huh.
 
Kwahiyo kama ni HIV+ basi asiweze kuwasaidia wengine? Unaonekana ukipata janga fulani huwezi kuelekeza wengine wasipite hapo...hiyo ndo maana yake.
Ungekuwa Greta think a ungenielewa. lakini ngoja nikusaidie. maana yangu ilikuwa huyu mleta mada anataka kumsambazia uzushi MTU Fulani kuwa anavirusi vya Ukimwi bila ya kumpima au kuwa na uthibitisho wowote. watu wengi wamekuwa wahanga wa uzushi kama huh.
 
Mkuu mwambie tu ukweli. Huwezi kujua kesho we nani atakuokoa
 
Wanawake wa siku hizi balaa tupu,,, ee muumba utulinde sisi wanaume waaminifu kwenye ndoa zetu amina.....
 
nna wasiwasi wameanza hata kabla hajapata kazi hapo. kama bosi ni fc na yeye yupo accounts, kuna uwezekano walianza mapema na ndo aliyemsaidia hata kupata kazi.
Yote yanawezekana ndio chanzo cha kumpa kazi labda
 
Km kweli umeamua ivo Fanya ivo. Msaidie Huyoo rafiki yako. Akapime,tena akae miez mitatu apime tena asishiriki tendon la ndoa na Huyo Mke aside mwaminifu. Ikibidi amuache tu huko. Nkcchukia sana Watu wanaosaliti wake/waume/wachumba/ wapenzi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…