Mke wa rafiki yangu kanirushia uchi wake whatsapp kimakosa

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,726
19,874
Mke wa rafiki yangu anauza kuku sasa huwa namuungisha sana cha kushangaza mida ya saa 4 usiku wa tarehe 10. 04.2019 umetumwa uchi ulionona kutoka namba yake ya whatsap ikabidi niulize kulikoni AKANIJIBU SAMAHANI SHEM NIMEKOSEA KUTUMA PICHA.

Natamani niwawekee screen shot ya picha na chat zetu ila maadili ya MMU yanakataza.

Anyway mi nimeishia kuguna tu MMMM ila kingine cha ajabu nashangaaa hatakutana kufuta japokuwa sina uhakika kuwa anajua option ya kufuta.

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jukwaa la wakubwa linakuhusu Mkuu. Tupia huko. Hujamuuliza shemejio ni nani aliyekusudiwa? Mchepuko au mume wake?

Mke wa rafiki yangu anauza kuku sasa huwa namuungisha sana cha kushangaza mida ya saa 4 usiku wa tarehe 10
04.2019 umetumwa uchi ulionona kutoka namba yake ya whatsap ikabidi niulize kulikoni AKANIJIBU SAMAHANI SHEM NIMEKOSEA KUTUMA PICHA.Natamani niwawekee screen shot ya picha na chat zetu ila maadili ya MMU yanakataza.Anyway mi nimeishia kuguna tu MMMM ila kingine cha ajabu nashangaaa hatakutana kufuta japokuwa sina uhakika kuwa anajua option ya kufuta.

Kama unasema ukweli basi wewe una tabia za kike au kijinga, huwa mimi akinambia mtu nimetuma text kimakosa kamasikuiona huwa naifuta bila hata kusoma.
 
Back
Top Bottom