sasa hapa umetupeleka majaribuni. nadhani swali hili ni muafaka sana kwa wanandoa wapenda onjaonja!!!!!!! ila labda tu kwa kusaidia kuchangia, nina imani kuwa mke ni mtamu zaidi kuliko beki tatu, kwa sababu mwenye nae anajinafasi kwa raha bila hofu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.