Mke wa mtu

Mke wa mtu

Mwambie uhusiano wenu uliisha pale alipoamua kuolewa.

Mwulize pia kwa nini anataka kumsaliti mmewe?!
 
Tafuna mnofu huo, mwenzio kakumiss unambwela mbwela nini sasa?
Tafta chimbo zuri then kamtafune kwa uzuri kabisa!
Kwa ndoa za sikuhizi hakuna asiechapiwa period!
Msijifanye kumkalipia mshikaji wakati wengi wenu mnaongoza kwa michepuko!
 
Hakuna mtego wowote uliowekewa,mtego ni akili yako na tamaa zako!!
 
We unatafta AK47 etii eh!we endlea tu ku socialize!
 
Rejea fursa hiyo kijana ilikua iwe yako sema ndo vile shetani mtaka pesa alikupokonya....
 
1. Unajua huyo dada an ex wangapi?
2. Unajuaje kama nao anawaambia hivyohivyo?
3. UKIMWI ni hatari!
Ikiwa utapuuzia ushauri huo...basi siku unayoenda kushugulikia huyo mke wa mtu, hakikisha unabeba KY kabisa...just incase...... jamaa amekukamata
 
Back
Top Bottom