miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kimbia hiyo ni nouma
Alikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea.. Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe... sasa siku hizi ameanza kamchezo kakutuma txt..mara "baby", eti amenimiss, anataka akumbushie kamchezo... mpaka sometime huwa nahisi ni tego...mie huwa simjibu kitu......ila siku zinavyoenda anazidisha txt... au ndo wametega mtego????
ushauri wenu wana JF..
"mke wa mtu hawara wa watu"
we si umwambie hutaki
Alikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea.
Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe.
sasa siku hizi ameanza kamchezo kakutuma text..mara "baby", eti amenimiss, anataka akumbushie kamchezo.
Mpaka sometime huwa nahisi ni tego...mie huwa simjibu kitu.
Ila siku zinavyoenda anazidisha text... au ndo wametega mtego?
ushauri wenu wana JF..
Huyu jamaa anataka sana, ila kinachomsumbua ni wasi wasi kwamba ni kweli katuma huyo demu wake wa zamani au ni mtego tu kutoka kwa huyo mwanaume mpya?