Mke wa mtu kuwa na Rafiki wa kiume

Mke wa mtu kuwa na Rafiki wa kiume

Naona watu wengi wameandika ila mii naomba nitoe USHAURI wangu kama ifuatavyo;

1. Tatizo hapo ni simu, hivyo usimame kama Mwanamme Ushuhulikie tatizo la simu na sio mengingineyo
2. unaweza kuchukua hatua kama kupiga marufuku kwa huyo mwanamke wako kuongea na hao wanaume na kama sijui ni shemeji yake ni marufuku shemeji kumpigia simu kwa simu za watu; Huyo shemeji akitaka kuongea naye atumie simu ya mzazi wake au ndugu yake unayemfaham; akiwa na udhuru atume tafadhali nipigie waifu ampigie au atumie simu yako kumpigia.
3. Huyo mkeo inaonekana hayuko busy ndio sababu anakuwa na muda mchafu wa kufikiria wanaume.
i. kama unaweza mfungulie hata kigenge/kibanda ili awe bize
ii. kama ana house girl fanya mpango aondoke kwa muda ili awe bize
4. Onyesha kuwa umekasirishwa na hicho kitendo chake ikiwemo kuacha unyumba kwa muda (ukiweza)
5. Tatizo lako linaweza kupata muafaka na kulimaliza hivyo usiwazie mambo ya TALAKA eti kwa sababu ya simu. Chukua hatua ya kukomesha matumizi ya simu

Mwisho; matatizo mazito ya Familia hayataki hasira wala maamuzi ya haraka haraka.
Muoneshe kuwa umekasirika ila sio kwa kufoka kupitiliza
 
Nimeshuhudia leo mke wa jamaa hivii analiwa na jamaa yangu geto kwake!!!

Haya maisha haya[emoji1316]
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Hao marafiki unaongea nao daily dakika 56?
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
naomba tuwe marafiki Joanah
 
itakuwa huna tako
 
Acha uongo, nina rafiki wa kike kadhaa kwa muda mrefu. Sijawahi kuwatamani. Tunaheshimiana hadi leo.

Tabia ya mtu ndo tatizo.

Nachojua hakuna urafiki wa jinsia mbili tofauti tena kwa mwanaume kamili ukiweza hivyo pengine wewe ni wale vijana wetu wa kinondoni wanaosemwa hadi bungeni kwamba hawana kabisa nguvu za kiume
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Una bahati ya swala kupita Katikati ya kundi la simba. Au ni marafiki zako wa kwaya kanisani? Hua unaenda geto kuwatembelea? Natamani ujana wangu ungekua kama Hao rafiki zako. [emoji4]
 
Ukishavuka stage ya kumtamani, ukaweza kuishinda...basi umefuzu huo urafiki usio na kukulana....

Otherwise ni ngumu, ukute mtu mtu...huko kumejaa dadeq, halafu unaambiwa tuwe marafiki...aaagrr, sijui wao wanasemaje hakyanani!!
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Tako lipo?
 
tatizo washaanza kukuita bro
umefanana na babaako
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Hao marafiki zako ni type ya kina james delicious hapo unategemea nini...
 
Back
Top Bottom