Mke wa mtu kuwa na Rafiki wa kiume

Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Kama kota unalo la kutosha lazima urafiki uingie dosari kidogo.
 
Wahuni waseme mara ngapi kwamba Raha ya dunia ni dhambi...

Mkuu urafiki wa me na ke huwa unakuwepo endapo mpo mbali,,, time mnayo meet ndogo na kama kila mtu mda mwingi yuko bize na kazi zake..

Japo uhakika wa kudumu ni mdogo sana,, Lazima demu ataliwa tu... Ni swala la muda.. Hata kama itapita miaka 10 ila ipo siku...

Nakazia tena Ipo siku,,, hata Joanah na wewe utaliwa tu.. Jipe muda.
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Urafiki wa mwanaume na mwanamke mgumu sana ,na kitu kibaya mwanaume akisha mtamani mwanamke atampata kwa njia yeyote na unaambiwa mwanaume tuna njia zaidi ya elfu .....basi huyo mwanaume ataanza kuleta care nyingiiiii na kitu kwa kibaya zaidi mwanamke akipata care nyingi tarabu anaanza kupata hisia kwa mwanaume.....Basi ndio hivyo sisi mwanaume wenyewe tunaelewa mambo yanavyo kuwa ndio tunakuwa na mshaka sana
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
kwani mkuu kule kula tunda kimasikhara vepee?
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Naomba tuwe marafiki basi halafu uone kama nitakuacha! 😋
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Mhmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom