Habari mkuu, naomba nipingane na wewe kidogo.
Tunaposema mke wa mtu anaibwa tuna maana ya kuwa... mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye kwa ushawishi wa mwanaume hawez kuruka viunzi vyote, atalaghaiwa kila mbinu mpk anaingia kwenye line.
Mwanamke yeyote ukimpania unampata......
Ktk tamaduni zetu za kiafrika, mwanaume ndye humtongoza mwanamke, hvyo mke wa mtu anatongozwa na kulaghaiwa mpk anakubali
Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu, unaanza kumpigia misele.... hivyo mwenye kosa ni mwanaume.
Mwanaume ndye huchepuka kwa hiyari kwa sababu hatongozwi, anatongoza yeye.
NIMEMALIZA