Mpaka kufika hapa nimeshasamehe ndio maana nimetoa eagleUnaonekana unauchungu sana ndani yako ambao hautakusaidia chochote zaidi ya kukupa kiungulia unapokutana na maswala ya hao viumbe jifunze Kusamehe na kusonga mbele
Sio stress mkuu mi nko fit tu kama viumbe wengineStress bwana.
Ungekua sawa ungeshukuru kazi ya mwanamke aliekufanya uandike huu uzi saa hiziSio stress mkuu mi nko fit tu kama viumbe wengine
haaah mi ni matokeo ya raha aliyokua akitafuta kwa iyo mi sikuwa kipaumbele chakeUngekua sawa ungeshukuru kazi ya mwanamke aliekufanya uandike huu uzi saa hizi
Umefika mbali mkuu
Kuna wake za watu wanajilengesha wenyewe...hawa nao utasemaje?Habari mkuu, naomba nipingane na wewe kidogo.
Tunaposema mke wa mtu anaibwa tuna maana ya kuwa... mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye kwa ushawishi wa mwanaume hawez kuruka viunzi vyote, atalaghaiwa kila mbinu mpk anaingia kwenye line.
Mwanamke yeyote ukimpania unampata......
Ktk tamaduni zetu za kiafrika, mwanaume ndye humtongoza mwanamke, hvyo mke wa mtu anatongozwa na kulaghaiwa mpk anakubali
Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu, unaanza kumpigia misele.... hivyo mwenye kosa ni mwanaume.
Mwanaume ndye huchepuka kwa hiyari kwa sababu hatongozwi, anatongoza yeye.
NIMEMALIZA
NonsenseMkuu huwez kupambana na asili, mwanamke ni kiumbe dhaifu kuliko mwanaume.... ktk utashi na kila kitu.
Jinsia haziwez kuwa sawa kwa kila kitu, mwanamke ameumbwa kutokana na mwanaume.....
Mke wa mtu anashawishiwa ila mume wa mtu hashawishiwi... anashawishi![]()
Nonsense....unaishi dunia ipi wewe?umekariri vibaya......kutongozwa siyo lazima akutamkie acha ubwege...wanawake wanatumia lugha za vitendo wakikutaka...kama ukiwa boya kama wewe huwezi elewaMaisha halisi yapi mzee? Kwa hiyo unataka kujfananisha na mwanamke? Nimekuuliza, anayetongozwa ni mwanamke au mwanaume? Hv unajua kuwa mwanamke ukimtongoza bila kukata tamaa unampata?
Huyo bado sana kuwajua hawa viumbeNdio maana mimi nimemwambia azungumzie maisha halisi sio ya kwene season za kikorea
kweli ndo jina languSi ndio jina lako au mods wamekuzawadia?
Kweli ndo jina languSi ndio jina lako au mods wamekuzawadia?
Nimeshasema mkuu asilimia kubwa wanawake ndo wanaotutongoza wanaumeKuna wake za watu wanajilengesha wenyewe...hawa nao utasemaje?
Tell himNonsense
Mpaka kufika hapa nimeshasamehe ndio maana nimetoa eagle
Sio kweli.Habari mkuu, naomba nipingane na wewe kidogo.
Tunaposema mke wa mtu anaibwa tuna maana ya kuwa... mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye kwa ushawishi wa mwanaume hawez kuruka viunzi vyote, atalaghaiwa kila mbinu mpk anaingia kwenye line.
Mwanamke yeyote ukimpania unampata......
Ktk tamaduni zetu za kiafrika, mwanaume ndye humtongoza mwanamke, hvyo mke wa mtu anatongozwa na kulaghaiwa mpk anakubali
Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu, unaanza kumpigia misele.... hivyo mwenye kosa ni mwanaume.
Mwanaume ndye huchepuka kwa hiyari kwa sababu hatongozwi, anatongoza yeye.
NIMEMALIZA
Hawadanganywi mkuu, ukiona kakubali kakuelewa wala hujamdanganya koo ata usingesema wewe angesema yeyeMtoa Post ukikua utaelewa. Wanawake ni tofauti na uwafikiriavyo.
Wanaibiwa Coz wanadanganywa