Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
Mkuu huwez kupambana na asili, mwanamke ni kiumbe dhaifu kuliko mwanaume.... ktk utashi na kila kitu.
Jinsia haziwez kuwa sawa kwa kila kitu, mwanamke ameumbwa kutokana na mwanaume.....
Mke wa mtu anashawishiwa ila mume wa mtu hashawishiwi... anashawishi
Jinsia haziwez kuwa sawa kwa kila kitu, mwanamke ameumbwa kutokana na mwanaume.....
Mke wa mtu anashawishiwa ila mume wa mtu hashawishiwi... anashawishi
Hao sio viumbe dhaifu labda kama umeamua kuwatetea tu kumbuka sasa ni haki sawa
Wanawake wa zamani ndio walikua dhaifu maana waliwekwa nyuma kwene kila kitu kuanzia elimu ambayo ndo nguzo muhimu