Mke wa mtu bhana hahaha!!

Mke wa mtu bhana hahaha!!

Mrukus

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
396
Reaction score
192
Kuna Jamaa kwenye Daladala hapa, alikuwa anaongea na cm "Haloo leo sitaweza kuja nimepanda gari moja na Mmeo" unaambiwa Wanaume wote wenye wake wamemng'ang'ania aoneshe hiyo no aliyo kuwa anaongea nayo"
 
Mkuu hiyo ni kweli au umeamua kuchekesha jukwaa
 
Kuna Jamaa kwenye Daladala hapa, alikuwa anaongea na cm "Haloo leo sitaweza kuja nimepanda gari moja na Mmeo" unaambiwa Wanaume wote wenye wake wamemng'ang'ania aoneshe hiyo no aliyo kuwa anaongea nayo"

Hiyo ni rusha roho original hahahahaha
 
Kuna option ya vunja mbavu au Cheka uongeze cku za kuishi ni bora ungetupia huko
 
Kuna Jamaa kwenye Daladala hapa, alikuwa anaongea na cm "Haloo leo sitaweza kuja nimepanda gari moja na Mmeo" unaambiwa Wanaume wote wenye wake wamemng'ang'ania aoneshe hiyo no aliyo kuwa anaongea nayo"
Nimecheka utafikiri mazur
 
Mkewa mtu.......Duh!!!!!!! We achatu.............! Life is incomplete without......it....with mkewamtu!
 
asante sana. nawaza walivokua wanakua wapole mmoja mmoja baada ya kukuta mamba sio!!
 
Back
Top Bottom