Mke wa mtu aning’ang’ania

Mke wa mtu.... ungejali kwa mkeo haya usingeleta.....
 
Hata mkeo na yeye inaonekana alipata njemba akawa anaieleza shida zake anazopata ndoani mwishowe njemba ikamwambia muache mumeo ntakuoa fasta tu.

That's life.
👍
 
Ndo maana na wewe mkeo alichapwa na wazee wa ku-care
 
nahisi umeshapata jibu la makwazo aliyoyaleta mke wako mpaka mkaachana na wewe uanayaleta kwa mke wa mwingine...and the circle continues
 
Oa huyo. Kwa kuwa wote mnamaumivu mtaishi
 
Kama ambavyo mwenzako anataka kuachwa na wewe mda ukifika utaachwa hivyohivyo itakuwa ni rotation
 
Kama ambavyo mwenzako anataka kuachwa na wewe mda ukifika utaachwa hivyohivyo itakuwa ni rotation
 
kanielewa sana mimi nifanyaje,hamtaki tena mume wake anataka tuishi wote.
ndivyo wanawake walivyo..wanarubuniwa kirahisi na wanatekwa kirahis asinge kupenda kiasi hicho kama wewe usingemetenegenezea mazingira ya wewe kufanya hivyo na kama anaweza kukupenda wewe kuliko mme wake ipo siku atampenda mwingine kama hivo hivo..cha msingi muache alee familia yake maana ana watoto na wanaomhitaji na pia mambo anayokushtakia wewe kuhusu mume wake pengine ni ya uongo au yeye ndio mkorofi tafuta ako uoe usiharibu familia ya mtu
 
naomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha

Sasa ushauri unaotafuta ni upi ikiwa tayari una maamuzi ya kutomwacha? nakushauri kuusikiliza moyo wako!
 
Wewe unautani unachukulia hilo jambo kiwepesi unaweza kufa hujui huyo mumewe atalipokeaje hilo jambo na atapanga kukufanyia nini ni hatari mkuu.
Mwache ajifanye chizi eti mke wa mtu anamtambulisha mwanaume mwingine kwao hahahahahahaha chai hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…