daaaah hiyo out tutaongea nini tena Slave
mimi najua kupenda tu
tatizo sijafanikiwa kupata mtu anayetaka kupendwa
nakutana na matapeli wa mapenzi kama Mr Rocky

ndio maana nasema nikutoe,kila kitu kina siri zake,serikali ina zake na hata ndoa zina siri zake. Jiulize kwanini Evelyn Salt amedum kwangu? Chezea meat ya wani wiki

AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA....( Mithali 6: 32-33)
Wanaume wengi hawana akili kabisa najua hata hapa wanasoma hii coment lakini hawaelewi....hii ndo sababu ya msingi.
( kwa wasomaji wa bibilia wanaujua sana huu mstari... sijui kama msaafu na wenyewe una hii reference)