Mke wa mtu anataka nizae nae



Kuna dini inakubali upumbavu kama huu? Ila Shetani One endelea, kuna siku isiyo na jina utalia pale utakapofumwa na kuambiwa na wewe itoe hiyo K... iliyojificha nyuma.
 
Duh!wewe kweli sheitwan na ndugu zake wote ni kama wewe!!!
Vipi mkeo nae akiwa antoka na mume wa huyo dada au sisi masela ambao ha2jaoa utajifilaje??!!
 
Siku hizi shetani amewatala sana mkichwa yaani mke wa mtu haogopi kuzaa na mme wa mtu.
 
unajionaa mjanjaaaa...kumchakachua mke wa mwezako,...shauri yako...ilaa huwezi jua na wewee mke wako anachakachuliwa na wana wote si wako,wat goes around comes back around
 

Sema una hamu ya kutangulia kuzimu.
 
Zaman kutenda zanbi kama hii ilikua siri ila cku hiz hadharan tena waomba ushauri loo
 
Yani katika wapumbavu duniani wewe ni namba moja. Kwa nini usimpende mkeo we -------?
 
na huyo mtoto utamdai uje umlee kwako na mkeo?
hii si ujanja wala si kitu cha kujisifu hivyo, fikiria mkeo unayemdharau hivi kwa sasa, kakuzalia watoto wako wawili wazuri, akianza haya uliyoanzisha, utakuwa wa nani wewe? umejipanga kwa hilo pia?
 

Unaomba ushauri gani sasa wakati maelezo yako yanaonesha uko tayari! Ila kumbuka tu unapokula lazima na wewe uliwe. Kapime DNA za wanao.....!
 
Unataka ushauri gani? Mpaka mmefikia kwenda kujidanganya kupima kama mko fit, mbona hamkutuuliza ushauri? Leo unajitapa hapa kuwa ati siku hizi mnafanya mambo bila soksi. Pole sana, au badili swali kuwa tuwashauri mahali pa kwenda kupima kama tayari shamba lishamea mbegu.
Nasema, wewe ni mji.ng.aaa kabisa hufai hata kushauriwa lolote mpaka siku utajikuta umeinamishwa huku kitu lainiii kikikutoka hukooo.
 

Ipo siku mume wa huyo dada nae atataka umpe tulizo analopata kwa mkewe,,,,,JE UPO TAYARI?
 
Nakupa ushauri wa bure. Kuna matokeo ya aina mbili katika movie unayoicheza.
1. Kufumaniwa na kumwagiwa tindikali mwishowe talaka.
2. Kufumaniwa na kuliwa KABANG yako …mwishowe talaka.

Tumia common sense name sio p....bu sense.
 
ushauri ninao Kupa , Kumbuka kubeba mafuta ya mgando wakati wote utakapo kuwa na mke wa huyo jamaa,yatakusaidia sana wakiamua kuku tafuna 0715
 
we mwehu kweli tubu kwa muumba na kisha rudi kwa mkeo
 
Huna adabu na huyo hawala yako nae taila nini maana ya kuchakachuana is it true unampenda mpenzi wako halafu useme mnachakachuana? Na kaa ukujua ipo siku hata shetani atakukataa utajuta kumjua mke wa mtu shetani wewr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…