Mke wa mtu anapoona wivu kwa hawara yake!!

Unajisifiku kugonga mke wa mtu eh, utaliwa kiboga na uoe haraka na wenzio wakugongee na naomba mkeo awe na wivu kwa hawara wake mara mia. Hv kuna raha kugongewa eh, ngoja uoe ugongewe utauona UTAMU WA KUGONGEWA

Labda aliyefanya hayo angekusikia!
 
Nadhani mama amenogewa na kipanf cha NYAMA CHENYE MISULI MING
Sitaacha kushangaa ya dunia. . . . . . . . . Nilikutana na huyu jamaa kwenye hiace,jamaa alikua mwingi wa mawazo,mpaka wakati mwingine akawa anazungumza mwenyewe,nikamuuliza kulikoni?Ndipo akaniambia kuwa. . . . Yupo kwenye uhusiano na mama mmoja mke wa mtu,jama umri wake ni midle 30's na yule mke wa mtu ana miaka 45,jamaa amemwambia huyo mama anataka kuoa huyo mama amekuja juu,akamwambia kama anataka kuoa asimwache.Jamaa hataki anataka akioa yeye na huyo mke wa mtu basi,yule mke wa mtu ana hela na amemwambia akimwacha atamfanyia kitu mbaya sana!Jamaa ana hofu,kuoa anataka ila anamuogopa huyo mama.Nikajiuliza inakuaje mke wa mtu anakua na wivu na hawara yake wakati yeye ana mume??Sijapata jibu!
 
Kumbe ni muoga, sa yanini alijidai mwamba kula wake za watu.
 
Chezea mapenzi eeh! Watu wanaingia kwa kujaribu wanajikuta wamenasa/wamenaswa.
 
Ukiangalia kwa undani siku hizi... hakuna cha penzi la mtu mmoja tena, painful truth
 
Ukipenda kweli wivu muhimu! Haijalishi umempenda nani na upo kwenye situation gani..
 
Osaka kuna ukawaida gani mke wa mtu kuona wivu wakati yeye ameolewa?

Binafsi ninashuhudia haya mambo ktk jamii na matukio yanayofanana na haya ni mengi so yawezekana hata mimi naweza kusema kuwa ni ya kawaida na tumeyazoea.
 
Last edited by a moderator:
Ni hali ya kawaida mwanamke kumwonea wivu mwanaume hata kama hawana uhusiano wa mapenzi yaani marafiki tu, ila simuungi mkono huyo jamaa kuchukua mke wa mtu. Ajue kabisa ''what goes around will come around''
 
Osaka kuna ukawaida gani mke wa mtu kuona wivu wakati yeye ameolewa?

hapa lazima tukubali ukweli, ambao ni kwamba , mke aliolewa kwa ajili ya materail love , hakumpenda mumewe kwa dhati, hivyo huyu hawara kaziba pengo, la mume(anapendwa kuliko mume wa ndoa).Pia inawezekana hawara ni mtaalamu wa tekinolojia kitandani kumzidi mumwe wa ndoa.Na pia labda hawara ana uwezo kikipato unaokidhi kumsaidia mke wa mtu.yanatokea sana haya Kwahiyo hizo sababu zikathibitishwa ndoa inakuwepo jina kama nyoka wa kibisa.Ni lazima hawara aonewe wivu
 
Back
Top Bottom