Mke wa mtu ananitaka

Mke wa mtu ananitaka

AHAHAHAHAHAHA......NAMKUMBUKA SANA WAZIRI MKUU MZEE MIZENGO PINDA.

WAPIGWE TUU..MAANA HAKUNA NAMNA....AGEGEDWE TUU. ILA SIKU MUMEWE AKIKUKUTA NA WEWE UTAFIIIIII........,,RWAAAAAA TUU..MAANA HAMNA JINSI.

PINDAAAAAAAAAAA...MTOTO WA MKULIMA AHAHAHAHA...SAHIVI UTAKUWA UNALIMA NYUKI NA MAVUNO ASALI..AHAHAHAHA.
Teh! Teh! Una utani naye?
 
Shetani anataka kukuingia ili aharibu maisha yako sasa kashindwa kuja direct anamtumia mwanamke, kama alivyomtumia hawa kuasi , mkimbie kama ukoma
 
Unaaibisha jina la taifa bwana.Hicho tu umeshindwa kukitatua aaarrrgh!
 
Angalia tu, usije uziwa janga tu, manake hawa wanawake wa siku hizi ni shiiida
 
Kuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa ananiamkia.

Sasa cha ajabu juzi kati nikaona namba ya kigeni kwenye simu yangu ikiita, baada ya kuipokea akajitambulisha na kuniuliza kama niko wapi kwani ana maongezi na mimi, nikamwambia niko grocery, ndipo akaanza hadithi zake kuwa ananipenda tangu siku nyingi lakini anakwazwa na vitu viwili, kwanza yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu na pili ni heshima aliyonayo kwangu na amejitahidi kuvumilia kwa karibu miaka minne.

Sasa ameshindwa na ameamua kusema ukweli mimi ndio nitoe maamuzi niendelee kumumiza kwa kumkatalia ombi lake au nimsamehe kwa kunikosea adabu au niwe naye at least mara moja tu ili roho yake iridhike.

Nifanyeje wanajamvi?
Mdau suala la mke wa MTU halihitaj kusaka ushaur ni kuachana nae kabisa kabisa(hapa nakushaur kiiman),unless kama ungekua hujui (hapa nakushaur kiujana)
 
Achana nae usiingize najisi ndan ya ndoa yako ndy mwanzo wa kuleta balaa na mikosi ndani ya familia

Kumbuka Mkeo ni Mwanamke mzuri kuliko wote duniani ndy maana ukaamua kuwa nae maishani
 
Acha kabsaa,mke wa mtu ni sumu,matokeo utakayopata kama utazini Naye ni makubwa kwa duniani na mbinguni."Mshahara wa dhambi ni mauti" Warumi: 6:23.
 
Watakapokung'oa korodani wenye mke wao urudi pia kuleta feedback hapa,dismayed Nyadikwa
 
Mke wa mtu ni sumu kiongozi. Yasije yakakukuta uione dunia chungu.
 
Kuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa ananiamkia.

Sasa cha ajabu juzi kati nikaona namba ya kigeni kwenye simu yangu ikiita, baada ya kuipokea akajitambulisha na kuniuliza kama niko wapi kwani ana maongezi na mimi, nikamwambia niko grocery, ndipo akaanza hadithi zake kuwa ananipenda tangu siku nyingi lakini anakwazwa na vitu viwili, kwanza yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu na pili ni heshima aliyonayo kwangu na amejitahidi kuvumilia kwa karibu miaka minne.

Sasa ameshindwa na ameamua kusema ukweli mimi ndio nitoe maamuzi niendelee kumumiza kwa kumkatalia ombi lake au nimsamehe kwa kunikosea adabu au niwe naye at least mara moja tu ili roho yake iridhike.

Nifanyeje wanajamvi?

Imagine mkeo ndo ametoka kumfata jamaa nyumba ya 4 ama ya 5 kumueleza mtu aliyempenda kwamba anampenda., ukiweza kutoka hapo naamini na hapo sasa utaweza kutoka kirahisi.
 
Kuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa ananiamkia.

Sasa cha ajabu juzi kati nikaona namba ya kigeni kwenye simu yangu ikiita, baada ya kuipokea akajitambulisha na kuniuliza kama niko wapi kwani ana maongezi na mimi, nikamwambia niko grocery, ndipo akaanza hadithi zake kuwa ananipenda tangu siku nyingi lakini anakwazwa na vitu viwili, kwanza yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu na pili ni heshima aliyonayo kwangu na amejitahidi kuvumilia kwa karibu miaka minne.

Sasa ameshindwa na ameamua kusema ukweli mimi ndio nitoe maamuzi niendelee kumumiza kwa kumkatalia ombi lake au nimsamehe kwa kunikosea adabu au niwe naye at least mara moja tu ili roho yake iridhike.

Nifanyeje wanajamvi?
Huo ushauri unaouomba humu jukwaani, nenda kamuombe mumewe I sure atakushauri vizuri tuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom