chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,195
Kula uliwe
Msaaala huo anayway kila lenye kheri ............siku ukibambwa ulete mrejeshoKuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa ananiamkia.
Sasa cha ajabu juzi kati nikaona namba ya kigeni kwenye simu yangu ikiita, baada ya kuipokea akajitambulisha na kuniuliza kama niko wapi kwani ana maongezi na mimi, nikamwambia niko grocery, ndipo akaanza hadithi zake kuwa ananipenda tangu siku nyingi lakini anakwazwa na vitu viwili, kwanza yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu na pili ni heshima aliyonayo kwangu na amejitahidi kuvumilia kwa karibu miaka minne.
Sasa ameshindwa na ameamua kusema ukweli mimi ndio nitoe maamuzi niendelee kumumiza kwa kumkatalia ombi lake au nimsamehe kwa kunikosea adabu au niwe naye at least mara moja tu ili roho yake iridhike.
Nifanyeje wanajamvi?
Weka namba ya mkeo humu ndio utakapopata jibu la nini cha kufanya mkuu.Kuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa ananiamkia.
Sasa cha ajabu juzi kati nikaona namba ya kigeni kwenye simu yangu ikiita, baada ya kuipokea akajitambulisha na kuniuliza kama niko wapi kwani ana maongezi na mimi, nikamwambia niko grocery, ndipo akaanza hadithi zake kuwa ananipenda tangu siku nyingi lakini anakwazwa na vitu viwili, kwanza yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu na pili ni heshima aliyonayo kwangu na amejitahidi kuvumilia kwa karibu miaka minne.
Sasa ameshindwa na ameamua kusema ukweli mimi ndio nitoe maamuzi niendelee kumumiza kwa kumkatalia ombi lake au nimsamehe kwa kunikosea adabu au niwe naye at least mara moja tu ili roho yake iridhike.
Nifanyeje wanajamvi?
kaka mkimbie huyo ni nyoka na mtihan kwako usithubutu Mungu hulipa hapa hapa dunian ukimsilkiliza nawe ujue mke wako naye atakusalitiKuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa ananiamkia.
Sasa cha ajabu juzi kati nikaona namba ya kigeni kwenye simu yangu ikiita, baada ya kuipokea akajitambulisha na kuniuliza kama niko wapi kwani ana maongezi na mimi, nikamwambia niko grocery, ndipo akaanza hadithi zake kuwa ananipenda tangu siku nyingi lakini anakwazwa na vitu viwili, kwanza yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu na pili ni heshima aliyonayo kwangu na amejitahidi kuvumilia kwa karibu miaka minne.
Sasa ameshindwa na ameamua kusema ukweli mimi ndio nitoe maamuzi niendelee kumumiza kwa kumkatalia ombi lake au nimsamehe kwa kunikosea adabu au niwe naye at least mara moja tu ili roho yake iridhike.
Nifanyeje wanajamvi?
Majamaa mengine husema yakikudaka kichwa ni halali yake. Sasa sijui ni kichwa kipi kinahusika.Kuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa ananiamkia.