Jamani kuna mke wa mtu anataka niwe hawara wake ananitumia picha zake za uchi, juzi mumewe ameona text zangu ananiomba niachane na mkewe ila mkewe ananilazimisha mpaka ameamua kutumia simu ya ndugu yake ili mumewe asijue, ila mimi naogopa kula mzigo wa mtu nifanyeje ili anielewe bila kunichukia?