Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,557
- 45,869
Ni ajabu sana kuna rafiki yangu leo kaniambia eti yeye ana nguo moja ya ndani/kufuli moja tu ndani kwake.
Japo mimi sio mvaaji sana ila ninazo nyingi. Imebidi tumchangie tumnunulie dazen halafu ni mke wa mtu.
Sijui huyo baba mke anatoka bila kufuli huwa anawaza nini.