Mke wa mtu amenitega...

Out of nowhere mdada anakuzushia hilo jambo....kama si kweli unaogopa nini??
 
kwa ufupi ni kwamba WEWE UKO HAPO KANISANI KIMASLAI LKN ROHO YK IKO KWENYE MAMBO YA DUNIA,
 
Kiongozi wa kanisa unajua hata maana ya kumkamua mtu???....please, acha kutuzuga wewe
 
Sijawahi sikia mtumishi wa mungu anatumia neno kama kukamuliwa......

mchungaji aliyeitwa na Mungu na akapata training au akakalishwa chini kufundishwa hawezi kutamka neno kama hilo, lakini hawa mitume, apostles dotcoms wa siku hiyo, kusikia hiyo wala usishangae.
 
We muongo ishu ilikuwa tar 31 Dec then umesema baada ya siku tau akawa tayari kumegwa hii kali leo ndo kwanza tar 2 Jan, panga vizuri uzushi wako
 
We muongo ishu ilikuwa tar 31 Dec then umesema baada ya siku tau akawa tayari kumegwa hii kali leo ndo kwanza tar 2 Jan, ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Jitahidi upigane na huyo shetani, lakini ukishindwa jimegee tu hako katunda maana halitakuwa ni kosa lako, ni hayo tu Mkuu.
 
uzinzi haufai bana, akifanya aje atwambie tumuombee na yeye.:embarassed2:
 
Ushindwe na ulegee!!!! Acha kumwendekeza huyo mwanamke ni chombo cha ibilisi kimetumwa kukuangamiza. Kumbuka kwamba kuna amri ya Mwenyezi Mungu inakukataza usizini, na kuzini ni dhambi, na malipo ya dhambi ni mauti.
 
aaah !!! kweli we mtumishi wa kanisa mtata so jamaa kakupa strategy za kujua kama anakutaka na umefanikiwa hadi hapo na ww pepo la ngono limesha kuingia,halafu unakuja kuomba ushauri wa kukamua sio.hapa we jishauri tu we mwenyewe kwasababu ulipofikia ni sehemu ndogo tu ni kiasi cha ww kuhasama au kufunga mdomo.
 
unaoogopa nn, hata Yesu walimwita mpunga pepo na ana pepo lkn haikubadilisha ukweli

achana naye atakuambukiza magonjwa bure usijali hata akisema mbane alete ushahidi atashindwa tu, kisa utamwelea maisha yake yasivyo na uaminifu hadi haishi na mumewe, atagwaya na kukimbia

kumbuka zinaa ni dhambi kubwa inayoambatan na adhabu mara moja kama magonjwa ya zinaa, kupoteza utu wako mbele ya jamii na ukimwi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom