Mke wa mtu amenitega... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa mtu amenitega...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MUHOGOJ, Jan 2, 2012.

 1. M

  MUHOGOJ Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi Heri ya Mwaka mpya,
  Siku ya tarehe 31 Dec. 2011, nilikuwa mahali fulani kanisani kwa ajili ya maandalizi ya kuuaga mwaka 2011. Mara akanifuata mdada mmoja ambaye tunafahamiana, na kwa bahati mimi ni mmoja wa viongozi wa kanisa. Akaniambia kuna ishu anataka kuniambia, nikamwambia ok niambie akasema hawezi kulisema hadharani, nikamwambia twende ofisini (ofisi ya kanisa) nikusikilize, akasema hapana ni private ussue. Nikasema sasa hiyo ishue imekaaje? Akasema labda tusimame pembeni tuu nikunong'oneze.

  Tuliposogea pembeni akasema amepigiwa simu na mume wake kuwa kuna mtu alituona nikiwa natoka naye gesti siku ya tarehe 26 Dec. na amemwambia. Nikapigwa na butwaa kwa sababu siku hiyo tulikuwa tumeshinda kanisani na wachungaji kwa ibada maalum na watu wote wanajua hilo. Pia sikuwahi hata kuchat naye na hata namba yake ya simu sina sasa nikaanza kuwaza sana huu umbea umetokea wapi? Akasema hata yeye hajui na kusisitiza kuwa itabidi huyo mtu atafutwe pamoja na mumuwe tukae tutatue hilo tatizo. Mii nikasema ok.

  Baada ya pale nikamtafuta rafiki yangu mmoja ambaye huwa namwamini sana nikampa issue yote. Akacheka sana, akaniambia huyo mdada kwanza haishi na mume wake japo wako sehemu (mji) mmoja, na kuongeza kuwa anakamuliwa na watu wafuatao (akaanza kutaja, nikashtuka maana ninawafahamu), akaongezea kuwa hata mumewe anajua na hata mama mtu anajua kuwa bintiye anakamuliwa na hao watu. Mumewe akimhitaji wanakutana sehemu tuu basi af binti anarudi kwa mamaye.

  Huyu rafiki yangu akanihakikishia kuwa speed ya hao wanaomkamua imepungua sasa hivi kwa hiyo hapo anakuzunguka ili apate gia ya kukuingia. Akanipa strategy ya kuthibitisha hilo na nikakubaliana naye na baada ya siku kama tatu hivi nikathibitisha kuwa ni kweli yuko tayari nimkamue.
  Ukweli siko tayari kufanya hillo, na sasa nawaza sana itakuwaje nikikataa hatanichafulia jina?
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Jaribu kukemea huyo pepo wa ngono anae taka kukunyemelea ashindwa kwa jina la Yesu
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe unaogopa watu au Mungu.
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ulithibitishaje?

  Umeacha story inaelea hewani...Imalizie kwanza!
   
 5. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,050
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  Huyo ni ibilisi anakunyemelea.pepo mchafu tokaaaaaaaaaaaaaaaa kwa jina la yesu na uhakika sasa kila kitu kitaenda sawa
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama hujafanya chochote atakuchafuliaje jina? Au hiyo process ya kuthibitisha ilikua sio halali? Jibu kwanza swali la Babu DC hapo juu...
   
 7. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wewe ni yule mtumishi wa mungu kicheche, hakuna suala la kukupa mawazo ila unajuwa nini la kufanya
   
 8. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ulithibitishaje? Jibu swali. Halafu hiyo ishu ni rahisi sana. Mwangalie tu kama anafaa kwa matumizi ya binadamu kisha mkamue! Kula ni kula tu, vibaya kukomba mboga!
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kukomba mboga ndio vp?
   
 10. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ukweli siko tayari kufanya hillo, na sasa nawaza sana itakuwaje nikikataa hatanichafulia jina?
  yani ww kweli ni mtumishi wa kanisa au umezuga au story sio yako may be umepewa kisa mana ungekua kweli ni mtumishi wa huko ulikosema hua hawasitaki hawa watu kabisa ni angeanza kukemea hapo hapo au kama ni muhuni angepiga kimya kimya wala asingesimulia muumini hata mmoja sasa ww ni nani mana sio mtumishi kabisaaaaaa..........sorry kama nimekuinterrupt
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh ... inasikitisha kutoa habari ambayo haina mwelekeo wala mwendelezo .. sasa hapo umetegwa vipi ???
  maana ya kukutege ingelikuwa kwa matendo na maneno lakini hiyo njia uliyotumia ya kutongozana kwenye maeneo ya kanisa inasikitisha sana .. hukwenda kwenye ibada na unajivika vyeo vya utumishi wakati hauko hivyo.. sasa unachoogopa ni kitu gani si ullimtongoza kwa kuamini ndo njia sahihi unategemea ushauri gani kutoka kwetu hadi sasa?
   
 12. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tukushauri nini wakati we mwenyewe unakisebusebu na kiroho papohapo?, Hutaki nataka , hujui hata kama ni dhambi unachoogopa wewe ni kuchafuliwa jina tu! Rafiki yangu huo uhuru wako usiwe sababu ya kuufuata mwili.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Asipochafuka atajifunzaje/ - Source: Tangazo la Omo
   
 14. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mkamue mwaya asije akakuchafua bureeee.
  wakuu wa kanisa wa siku izz mmh.
  haya kamkamue.
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Paranoia!
   
 16. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Itamchukua miaka mingi kutakata maana harufu yake ni kama kipande cha nguru asiyeoshwa, atajutia kupata/kupatwa
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hahahaaa unasema mtu wa kanisa na unashinda kwa kanisa au ndio yale makanisa ya biashara???
  sa si bora ukae tu nyumbani kwako kwani mwamchezea Mungu
  naona kanisa lako linahubiri ngono na uzinzi.
  sishangai lipo kanis amoja pale tabata mchungaji wake mkenya
  huwa wanakesha kanisani na usiku wanazima taa maombi yakolee vema hapo kila mmoja anambusu wake na kula panya
  afu mchungaji mwenyewe amejaa tatoo mwili mzima na amekodi chumba chake ktk baa moja pale tabata changombe
  wanaokaa tabata mtajua hili na bar ninayoisemea hapa.
   
 18. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  acha uoga jiamini
   
 19. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #19
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  si ndo hapo sasa! Au mtumishi shetani anakumendeaaa....
   
 20. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,329
  Likes Received: 2,980
  Trophy Points: 280
  Ikimbie zinaa mzee wa kanisani!
   
Loading...