..Mke wa mtu ameniota..

SI Unit samahani kama nitakukwaza ila naomba acha unafiki.... Mwanaume yeyote yule hata ambae hana interest ya kuenda popote na huyo mdada/mama lazima angejibu hio text.... Na kama asingejibu wala asingemtafuta huyo mwanamke for the simple reason kua alikua hajavutiwa nae na wala si type yake. Hivo hicho kitendo cha kusema ulimkaushia then wewe mwenyewe ndio ukamtafuta hali alikuandia message ya wazi ya kukutongoza ili muingie katika maongezi na ushawishi wa kudo inatiia walakini kwa kweli....
Umesema kweli kabisa shem....kweli kabisa.

Hebu nambie ningemjibu vp manake mm nilikosa starting point na hii inatokana na heshima yangu kwake na kwa mumewe, pia nature ya stori tunazopiga au kuchat nae..
Ungemjibu hivi: Nashukuru Mungu kwa kuwa imekuwa ndoto kwa kuwa kama ingekuwa ni kweli hakuna dhambi mbaya kama kumsaliti rafiki nayemheshimu kama mumeo.
 
Ukimla ndio heshima itazidi, nani aliokudanganya itapunguwa? Enzi za utoto nilikuwa nalila anti moja jirani yangu, nikimuona tu wa kwanza mimi kumpa shikamoo, yeye na mumewe. Heshima nyingi tu. Wewe kulaga tu.

Ribosome still one for that visit at my home? lol

Eways B2T huyo antii ulikua humuheshimu ulikua wamsanifu...
I bet rafiki zako woote walikua wajua kua umelala nae.... Ungekua unamheshimu....

  1. Huo mbanjuko ingekua siri yako na yake daima. Usingehema kwa mwingine.
  2. Usingemtaja hapa kwa kusema "Nilikua nalilia anti" ni dhahiri ulikua humuheshim. Walau ungesema kwa heshima kua kuna anty nilikua nalala nae wakati nikiwa mdogo na nilimheshim (taking note wasema hapa sababu hatujuani)
  3. Attitude yako inaonesha ukisha lala na mwanamke heshima kwako inakufa..... Sad. Hebu toa heshima bana, sidhani kama wabandua na kuondoka nayo hadi uwe na dharau hivo... sio uwanaume huo jamani.

Narudia.... Karib nyumbani.
 
Ok... nimekuelewa sijakusoma vizuri.... Sorry. Naomba nikuulize swali.... Leo hii unarudi kwako unakutana na mumewe anakuambia kapata safari, na unahakikisha kabisa kua mumewe kaondoka. Unarudi kwako ile uingie ndani HAMADI! Yupo kwko naked sebuleni kwako anaangalia movie with a drink in her hands... anakuna tu anakuambia "I am sorry nimekuja bila taarifa, nimeboreka peke yangu nyumbani nimeona jioni hii nii spend hapa kwako" Utafanya nini??

  1. Utaingia kusanya nguo zake na kumwambia avae na kuondoka tena kwa Ukali!
  2. Utaonesha kutojali uwepo wake (huku roho yako na biologia yako vikishangilia) kua hatimae siku imefika...
  3. Utaondoka hapo kwako ili umpigie simu kua ukute kaondoka
  4. Ama tu mara moja utavua nguo na wewe ili muweze banjuka...

Naomba nijibu kwa ukweli, tupo jamvini hapa hakuna haja ya pretense....

dada dii we nae ,mbona swali jepesi hilo.kama ni mimi ntachagua no 4
 
Hii ni imekaa ki-assumption zaid ADI, sebuleni kwangu ataingiaje wakat hana funguo? Labda awe mwanga au jini..
 
Ingekuwa ni ODM, namba nne ingehusika.

Halafu ningemwambia usirudie tena.
 
Hii ni imekaa ki-assumption zaid ADI, sebuleni kwangu ataingiaje wakat hana funguo? Labda awe mwanga au jini..

SI hivi do you know the mind of a horny woman na she is half crazy na wants you at whatever cost?? Alafu BTW sorry kama nitakukwaza.... Do you like sex?:A S-coffee:
 
Yaani unaulizia msikiti Cairo? Ofkozi baada bana! Shem vipi tena?

Umetoa an absolute answer!! Umesema utamwambia asirudie tena.... Utamwambia asirudie tena hali usha ona the sampling is Perfect?? I was a bit worried of the jibu... That coming from ODM.... lol :nerd:
 
am sure, he doesn't

Ofcoz I sense he doesn't.... Ukiona mtu aki define tu sexual intercorse kama uchafu hapo kuna shida kidogo... BJ na kuzama atasema nini? Alafu eti kapata wapi funguo.... Such a small issue kama I want to be inside the home a Man I desperately need.....lol
 
Umetoa an absolute answer!! Umesema utamwambia asirudie tena.... Utamwambia asirudie tena hali usha ona the sampling is Perfect?? I was a bit worried of the jibu... That coming from ODM.... lol :nerd:
Iwe perfect au imperfect kuambiwa asirudie is a MUST. Yaani kwa muktadha huo. Kama itakuwa perfect then kazi itafanyika kwa njia nyingine salama zaidi lol. (Shhhhh..... watoto wanakaribia kuamka...Mke wa Mtu umjuaye ni BOMU la Mbagala likimbie ujiokoe)
 
Back
Top Bottom