..Mke wa mtu ameniota..

..Mke wa mtu ameniota..

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Ni mzuri sana, ana baby face, haoneshi kama ana mume kwa wale wasiomjua. Ninamheshimu naye ananiheshimu na pia namheshimu mume wake kama shemej yangu coz tunafahamiana kwa karibu! Bibie huyu anapenda sana kampan ya "kiumeni" ndio maana nimejikuta nipo nae karibu.
...
"Shikamoo dada" ndiyo salam yangu kwake coz amenipita umri about 13 years.
...
Juzi kati nikapokea sms kutoka kwake inasomeka hivi:
"Nimekuota tunakula denda"..
Niliipotezea ile sms, sikumjibu.
...
Leo asubuhi tumeonana nikamsalimia akajibu kavukavu, kama mtu ambaye yupo "off mood". And it is true aliponiona alibadilika tofauti na nilivyomzoea.
...
Muda si mrefu amenitext "KWA NINI SIKUJIBU SMS YAKE?"..
...
Kiukweli nakosa majibu ya kumpa, sitaki nikose kampani yake. Naombeni mwongozo wanaJF, nimjibu vipi coz nimeishiwa vocabulary za kumjibu!
...
MCHANA MWEMA
...
SI unit
 
SI Unit samahani kama nitakukwaza ila naomba acha unafiki.... Mwanaume yeyote yule hata ambae hana interest ya kuenda popote na huyo mdada/mama lazima angejibu hio text.... Na kama asingejibu wala asingemtafuta huyo mwanamke for the simple reason kua alikua hajavutiwa nae na wala si type yake. Hivo hicho kitendo cha kusema ulimkaushia then wewe mwenyewe ndio ukamtafuta hali alikuandia message ya wazi ya kukutongoza ili muingie katika maongezi na ushawishi wa kudo inatiia walakini kwa kweli....
 
..simple, mbona sms yenyewe c swali? mwambie not all dreams come true(especially hii coz ni ya mchana). Ushauri kwa ww, hata kama utamic company yake-not all friendships are profitable for you...Yatakutokea makubwa na utajuta kumfahamu huyo mdada.
 
Hebu nambie ningemjibu vp manake mm nilikosa starting point na hii inatokana na heshima yangu kwake na kwa mumewe, pia nature ya stori tunazopiga au kuchat nae..
 
Thank you but ni family friends na mumewe ni best angu pia, ndo maana nashindwa kujua nikikosana nae itakua na effect gan kwa shemej(mumewe)
 
Hebu nambie ningemjibu vp manake mm nilikosa starting point na hii inatokana na heshima yangu kwake na kwa mumewe, pia nature ya stori tunazopiga au kuchat nae..

Ni wanawake wachache saana wapo that vulgar hasa kama hivo umeniambia ni mke wa mtu... Hadi alikutext kua alikuoata mwala denda ina maana siku zoote za nyuma mshazoeana to the extent you are comfy with one another na aweza tuma hio text. Wasema uliishiwa pose sababu ya heshima ka mumewe..... hio ni hatari kama it is the only reason (heshima kwa mumewe) ndio cha kukwamisha to go further you are bound to sleep with her kama kweli ataka. For ungeniambia kua reason ni heshima ulio nayo juu yake.... Ningejua lazima utamkwepa.... Hapa ina maana si ajabu ushawahi mvua ngua na kufanya nae mapenzi katika fikra na ndoto zako... and if you do that about a woman, I belive wewe kama mwanaume itapotokea tu chance hamasishi na ya kuwezesha you are ready to love your fantasy which in this case is sleeping with her... to quench you thirst.
 
ADI nielewe, nimesema heshima kwake na kwa mumewe, hujasoma vizuri..
 
ADI nielewe, nimesema heshima kwake na kwa mumewe, hujasoma vizuri..

Ukimla ndio heshima itazidi, nani aliokudanganya itapunguwa? Enzi za utoto nilikuwa nalila anti moja jirani yangu, nikimuona tu wa kwanza mimi kumpa shikamoo, yeye na mumewe. Heshima nyingi tu. Wewe kulaga tu.
 
ADI nielewe, nimesema heshima kwake na kwa mumewe, hujasoma vizuri..

Ok... nimekuelewa sijakusoma vizuri.... Sorry. Naomba nikuulize swali.... Leo hii unarudi kwako unakutana na mumewe anakuambia kapata safari, na unahakikisha kabisa kua mumewe kaondoka. Unarudi kwako ile uingie ndani HAMADI! Yupo kwko naked sebuleni kwako anaangalia movie with a drink in her hands... anakuna tu anakuambia "I am sorry nimekuja bila taarifa, nimeboreka peke yangu nyumbani nimeona jioni hii nii spend hapa kwako" Utafanya nini??

  1. Utaingia kusanya nguo zake na kumwambia avae na kuondoka tena kwa Ukali!
  2. Utaonesha kutojali uwepo wake (huku roho yako na biologia yako vikishangilia) kua hatimae siku imefika...
  3. Utaondoka hapo kwako ili umpigie simu kua ukute kaondoka
  4. Ama tu mara moja utavua nguo na wewe ili muweze banjuka...

Naomba nijibu kwa ukweli, tupo jamvini hapa hakuna haja ya pretense....
 
Denda chafu sana. na ukisikia testi ya chumvi ujuwe huyo akienda haja ndogo hatumii maji ya kutosha, chumvi kule hakunaga kabisa, ukisikia chumvi ujuwe kojo hilo limebaki.

Kumbe ulikua unadendeka(enzi hizo coz umesema sa'hv ni uchafu) kabla ya kusafisha kinywa ndo maana ulikua unadendeka mabaki ya "menyu"
 
mkuu si unit,wake za watu ni sumu kaka,nakushauri uwe mbali na huyo dada,acording to you explanation it seams that huwa mnatumiana vjisms vya kimahaba,na yaonekana hata wewe unamtaman huyo dada.let me advice you,kwa kuwa ulishamvua nguo kifikra we mjibu tu.NDOTO NZURI KWEL KWEL,then usikie atakwambiaje.akikwambia tufanye live action,mwambie unamuogopa jamaa yake.akizidi du nae coz atakuwa ameyataka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom