uncledalali
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 249
- 118
Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki anadai yuko tayar kuachana na mumewe ili awe na mm! Mm simtaki coz amenizidi age xna kama miaka7.ushauri wako tafadhari..