Mke wa mtu ameniganda

Mke wa mtu ameniganda

Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki anadai yuko tayar kuachana na mumewe ili awe na mm! Mm simtaki coz amenizidi age xna kama miaka7.ushauri wako tafadhari..

safi sana..naona hata kifo nacho kimekuganda.usisahau kuweka order ya jeneza pia.nitakufanyia bei poa kabisa coz we ni member humu.usiache kunipa hiyo ridhiki ndugu yangu
 
Kuna kale kamziki...age is just numbers...tehe teh...hebu tujuze: issue ni kwa sababu umegundua ni mke wa mtu au kwa sababu amekuzidi umri by 7 yrs?
issue kubwa Age,mke wa mtu si issue coz yuko tayar kuachika (divorced).
 
Akikuletea gonga zaidi ya jana hadi mme wke amuone ----, mke wa mtu kitu gani bhana..
 
Huoni kinyaa? Duh una roho, yani unajua kbs kuna gegedo limepita hapa na bado nawe huyoo unaingiza...mmh we do differ
 
Mke wa mtu ni sumu ila akijileta usione so we kula mzigo upate heshima.
 
Ungejua inavyouma kuibiwa mke usingeomba hata ushaur. Ungemwacha kimyakimya. Jamaa akijua atakupumlia. Alif jiulize ww una nn cha ziada mpaka amwache mmewe aje kwako? Na ww itafika siku atakuacha na kwenda kwa mwingine! Hafai huyo kahaba tu.
 
Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki anadai yuko tayar kuachana na mumewe ili awe na mm! Mm simtaki coz amenizidi age xna kama miaka7.ushauri wako tafadhari..

Kwa hiyo sababu ya kukataa ni tofauti ya umri...??? Na huo umri umeujuwa baada ya kugundua kuwa yeye ni mke wa mtu..???

We subiri ybanduliwe tiGo yako, na kama mumewe ni mchaga, basi atakufyatua tiGo yako risasi itokee utosini...
 
Natamani kweli kumfaham huyo Mbaba unae muibia Mke wake,
Nikibahatika kumjua nitashirikiana nae mwanzo Mpaka mwisho Mpaka tukutafune 0718 hiyo,

Una mzini Mke wamtu unapewa ushauri acha we unaleta Ubabe wakijinga,Nimejikuta nakutamani sana we unae jiona Shababi
 
wake za watu sumu kaka,,hauwez kuishi kwa amani,,kila siku utaish kwa mashaka kwamba jamaa akistukia ataka-0715
 
du dhambi nyingine hata kutoa ushauri naogopa,ila ipo cku hata shetani atakataa kuwa na hii dhambi yeye hahussiki,jipe moyo tafuta mzuri wa kwako huyo ni wa wenzako
 
Wakati ulipokuw unamtongoza hadi mkagegedana hukuona kuwa amekuzid umri?
 
Mke wa mtu sumu k***mae,siwez sihau niliponusurika kupigwa shaba na riffle ikagonga geti.
Yani jamaa alinisaka kama digidigi.
 
Back
Top Bottom