Mke wa mshikaji simuelewi

Mke wa mshikaji simuelewi

nachokushauri, Usile Mke wa mtu wakati ambao anasukumwa na Presha kubwa iliyo Ndani yake .

Kwa wanaume ... Hamna kipindi Cha mwanamke kuliwa kama akiwa akatoka kuachwa, kugombezwa na Mume/bwanake n.k

Huwa kama Hana akili, basi atalika kirahisiii sana utadhan Dem aliyelewesha pombe.
 
Mshauri awafuate Washenga na Ndugu wengine....kisha ukae nae Mbali sana...

Yafanye hayo yote kwa usalama wa Marinda yako...

Be a Man.,,mambo yao waachie wenyewe
 
nilipanda mtumbwi kama uo kwa wife wa mshikaji wangu nikamla now I feel guilty imebid kila siku nambeba mwamba bar kula masanga bills on me najichekesha jichekeshe kwa mwamba aisee na dem bado anataka kugegedwa nipo njia panda akili inagoma moyo unataka bad enough najua moyo always wins this battle
 
nilipanda mtumbwi kama uo kwa wife wa mshikaji wangu nikamla now I feel guilty imebid kila siku nambeba mwamba bar kula masanga bills on me najichekesha jichekeshe kwa mwamba aisee na dem bado anataka kugegedwa nipo njia panda akili inagoma moyo unataka
Achan nae mkuu ingia mitini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Yooooooh....dhambi ya uzinzi inakuzinga.
Usiingie kwa mke wa nduguyo,hasira ya Mungu itawaka juu yako.....jiepushe...ACHA.
 
Sawa mkuu
20220912_235450.jpg
 
Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Je huyo mke wa jamaa yako anq chura?
 
nilipanda mtumbwi kama uo kwa wife wa mshikaji wangu nikamla now I feel guilty imebid kila siku nambeba mwamba bar kula masanga bills on me najichekesha jichekeshe kwa mwamba aisee na dem bado anataka kugegedwa nipo njia panda akili inagoma moyo unataka bad enough najua moyo always wins this battle

Mithali 6:32 - Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
USITHUBUTU kumla halafu utanishukuru baadaye😎
 
Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Wapotezee wote wawili. Ukiweza jiweke mbali nao kwasasa. Fanya hivyo, utakuja kunishukuru mbeleni.
 
wanawake sio wa kuwaamini,tena ogopa mwanamke anayeweza kutoa siri za ndani kwake kwa mtu baki wakati kuna wazazi wake hata kama ni sogea tuishi,nachojua nyumbani kukiwa na tatizo lazima kama familia mkae kwanza mujue tatizo ni nini
mwanamke pia unatakiwa kuangalia mwanamme anapitia changamoto gani kama psycholojia haiko sawa basi ujue na unyumba itakuwa shida.
Ushauri wangu kaa naye mbali
 
nilipanda mtumbwi kama uo kwa wife wa mshikaji wangu nikamla now I feel guilty imebid kila siku nambeba mwamba bar kula masanga bills on me najichekesha jichekeshe kwa mwamba aisee na dem bado anataka kugegedwa nipo njia panda akili inagoma moyo unataka bad enough najua moyo always wins this battle
Achana na huo upuuzi. Jamaa yako akigundua anaweza kukuua. Mchunie mke wake ikibidi piga block 🚫 kabisa. Huyo mwanamke hakutakii mema kabisa.
 
Back
Top Bottom