much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,543
Kula kimasiharaNi shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje