Mke wa msela wangu katoroshwa

Mpaka umetumia neno msela basi wote ni choka mbaya.mwenye pesa kachukua
 
'Kiukweli inaniuma',...

Lilikuumaje jambo la mtu mwingine?

Unanipa mawazo kukufikiria vibaya kuhusu shemeji yako huyo!

Nasi wanaume saazingine hatuaminiki, tumekaa kama mambwa!

Hawezi kutorokewa mtu mwingine mke, hilafu kikuume wewe.

Haileti maana hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…