Mke wa msela wangu katoroshwa

Paka haishi kwa msela.Usela ukizid kama baba swalehe noma.Apunguze usela aende kwa wazazi akawape taarifa.
 
Atoroshwe ye mtoto????...Ana akili zake timamu na mtu mzima..Sema kamtoroka mume wake!
Na akirudi mume amchape makofi ya maana hadi aseme alikua wapi! wanawake wengine hawajui kuridhika!
kwa kweli agy naomba nkwambie nakupenda sana
 
Hiyo ndiyo kazi ya mitandao ya kijamii siku hizi!
 
mpaka sasa % ya kuoa imebak 0.9 hawa wanawake sijui wana nini??
 
mwambie kama akirudishwa huyo mkewe akaze kiuno sio anatia kama anacheza mdako
 
We ni jipu vilevile. Kama hamjampa mahitaji ataendelea kutoroshwa na kwa vile hamjitambui akirudi mtampokea. Mara ijayo mtamsindikiza wenyewe kwa wanaomtosheleza mahitaji ya mwili na roho. Kaseme haya maneno kwa huyo msela wako maana wasiwasi wangu hawezi access jf
 
Pole sana
 
Hakuna mwanaume wa kutorosha mke these days
huyo kaazimwa tu kwa sikukuu
jumanne mkewe atarudi apunguze presha....

siku hizi wanawake hawatoroshwi...wanaondoka wenyewe na kurudi
Hahaha
 
Atoroshwe ye mtoto????...Ana akili zake timamu na mtu mzima..Sema kamtoroka mume wake!
Na akirudi mume amchape makofi ya maana hadi aseme alikua wapi! wanawake wengine hawajui kuridhika!
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…