Mimi ni kijana ambae sijaoa na nimepanga chumba ambapo hapo napoishi anakaa jamaa fluani mwenye mke na mtoto mmoja.Mimi na jamaa wote tunashinda kwenye mishe zetu bt inatokeaga muda mwingne mchana naenda nymban coz ni karibu na kazini kwangu.
Kimbembe kinakuja pale napokua natoka zangu ndani kwangu aidha naingia uani au bafuni kuoga sababu jamaa chumba chake kiko karibu na choo*bafu na kina dirisha upande huo unakuta shemeji huyo(mkewe jamaa)amelala ndani kwake amevaa chupi tu halafu kapandisha pazia kila ktu wazi wazi hivyo basi nashindwa kumuelewa jirani huyo anamaana gani.Ukizingatia hapo nyuma huyo mkewe jamaa alikua akiniwekea mitego ya kukaa vibaya nikamwambia akapunguza bt saivi simuelewi kabisa.
Ananizingua ukizingatia mm bado bachelor na nawaheshimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
We na mchumba wako ni mazuzuzMimi ni kijana ambae sijaoa na nimepanga chumba ambapo hapo napoishi anakaa jamaa fluani mwenye mke na mtoto mmoja.Mimi na jamaa wote tunashinda kwenye mishe zetu bt inatokeaga muda mwingne mchana naenda nymban coz ni karibu na kazini kwangu.
Kimbembe kinakuja pale napokua natoka zangu ndani kwangu aidha naingia uani au bafuni kuoga sababu jamaa chumba chake kiko karibu na choo*bafu na kina dirisha upande huo unakuta shemeji huyo(mkewe jamaa)amelala ndani kwake amevaa chupi tu halafu kapandisha pazia kila ktu wazi wazi hivyo basi nashindwa kumuelewa jirani huyo anamaana gani.Ukizingatia hapo nyuma huyo mkewe jamaa alikua akiniwekea mitego ya kukaa vibaya nikamwambia akapunguza bt saivi simuelewi kabisa.
Ananizingua ukizingatia mm bado bachelor na nawaheshimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tenaNi kwawaida kwa rika lako kidudu kinakuwa kinasimama simama bila mpango hata ukiona jogoo anakimbiza tetea kidudu kinasimama, tafuta mwanamke wako akikuona nae ataacha