rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,976
Atupe hata mihogo bhasiiSasa mbona tunapewa kavu kavu bila vitafunwaaaa???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Atupe hata mihogo bhasiiSasa mbona tunapewa kavu kavu bila vitafunwaaaa???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena LA nje alafu halifungiunaishi maisha duni... una share bafu!!!??pole
Maisha ya baadhi ya watanzania ni ya shida sana. Unatoka kazini umechoka, ukirudi unaoga umeshikilia mlango.
Hahahaaaa mkuu sasa alipoingia akasema nn au mkaongea nn???Hii hali ilisha wahi nitokea wakati wife kaenda kwao kujifungua .Kuna single mother mpangaji mwenzangu alinivamia chooni maana ilikua jtatu nilikua sijaenda job na pale mazingila watu walikua wote wako kwenye mishe ilibidi niwe mpole nikamwambia tu usiku nitakuja chumbani kwako ndo mara ya kwanza kula dem bila kumtongoza .
Yaan alikua kesha fanya vituko vingi sana sasa ila sikujali ila sasa baada ya kuniona nikiwa uchi nikaona hii sasa ni dharau ndo maana nilivo mwambia nitakuja alifungaa mlango akaondoka na mm nilimtafuna kweli na huwezi amini mpaka alishika ujauzito wangu kwa hiyo kwa sasa ni mzazi mwenzangu,,Hahahaaaa mkuu sasa alipoingia akasema nn au mkaongea nn???
Acha tu mkuu.Daah.. mkuu umenichekesha sana.. huo ndio uchumi wa kati mkuu 😂😂😂