SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
Imeshindikana!!!!Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
ajabu hayawani kweli huyo jamaaSasaa unatangazaa ya nn badala yakula kimya kimya ,kaaaa kimyaaaaaView attachment 3292719
KamdomoSasaa unatangazaa ya nn badala yakula kimya kimya ,kaaaa kimyaaaaaView attachment 3292719
😂😂😂😂soon wewe na mke wa mjomba mtakuwa mtu na mke mwenzie.
Mara paah kadaka ujauzito na kazaa Toto lililofanana nawe ilihali mbegu yako imelanda mbegu toka ubabani wala si umamani...🤭Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko